Kenya's military spending in 2018 IS more than Tanzania's and Uganda's combined

Kenya's military spending in 2018 IS more than Tanzania's and Uganda's combined

Jw ilipoteza askari 14 kwenye ambush ya masaa 13 ambayo kisheria jw hawakutakiwa kujibu mashambulizi zaidi ya kujirinda tu kinachoshtua zaidi washambuliaji inasemekana ni special force .......

Lkn KDF walishambuliwa kwa nusu saa tu battalion nzima wakapona watu 40 na magaidi wateka vifaru na mizinga
Wanafikiri ukubwa wa pua ndio wingi wa mafua!
 
joto la jiwe km600 tumejenga kwa mikopo nyinyi mnajenga kwa "pesa za ndani" ila bado hata km1 ni ngumu kuiona. Back to the topic ya dhaifu jwtz wabangua korosho vs KDF wauza mkaa na sukari.
Unataka uione angani hiyo Sgr au uletewe nyumbani ktk bakuli?🏃🏃🏃
 
Ndughuri msuyia nataka nione kwa picha hata kama utanitumia kwa bakuli.
 
joto la jiwe pia wewe kuwa mkweli kuwa hapa unabadilisha magoli, tupo kwenye mada ya dhaifu jwtz kuwa na budget hovyo. Afu pia kubali kwa "kwa pesa zetu za ndani" hamna kitu mshakamilisha awamu ya tano.

Back to topic my friend.
Kisiwa cha amani hakihitaji vita zisiso na maana na bajeti ni kwa huduma muhimu kwa wananchi na si kununua silaha za kifahari huku ugali ni kwa mgao
 
Msishangae wakitumia 50billion kilipia deni ya Chinese, waibe 25billion, halafu watumie 25billion kwa jeshi.

Hao watu hawana mpango
 
Back
Top Bottom