Kenya's MPs tested positive for COVID-19

Every positive case has been announced, some by name and others by description of their gender & history of travels / contacts.
GoK as usual, these 17 Mps are a big secret, to the extent that parliament was suspended abruptly with no explanation

Out of 170 cases, how many have been announced by name?
Other than the Kilifi deputy governor who broke quarantine and was arrested, and the young lady and gentleman used for PR (With their consent I'm sure), other cases are coming to light after death.

Revealing gender and history of travel does not mean MPs cannot be among them. MPs travel all the time and they are of both genders.
The only people who know all the names of those infected are concerned health officials.
There is nothing at all to say the MPs are not among those already listed.
 
Tatizo la wakenya ni uwezo mdogo sana wa kufikiria, hawajui nini wanataka, nilimsikia waziri wao wa Afya anasema Kenya ina bahati kwasababu huu ugonjwa Kenya ni " mild", ninajiulza anatumia vigezo gani wakati ukitumia utaalamu kuzichunguza hizo "statistics", Corona unawaua wakenya Mara mbili zaidi ya Marekani, Italy na Spain, au alitaka vifo Kenya vizidi idadi ya walioambukizwa?

Sent using Jamii Forums mobile app

Italy cases - 135,000
Deaths - 17,000
fatality rate - 8%

Spain cases - 140,000
Deaths - 14,000
fatality rate - 10%

USA cases - 400,000
Deaths - 13,000
fatality rate - 3.2%

Kenya cases - 172
Deaths - 6
fatality rate - 3.5%

Enda uangaliwe hicho kichwa chako.

Pia, kwa kusema ugonjwa ni mild, inaweza maanisha kwa transmission, sio kwa vifo pekee.
Yaani watu wengi hawagonjeki hapa kama tulivyo ona nchi zingine.

Kwanini nyinyi watanzania lazima mpaka basic mathematics na grammar lazima muelezwe?
 
Kenya 3.5%
Germany 2%
China 2.3%
Nigeria. 1.8%
Rwanda. 0%
Uganda. 0%

Hiyo bahati ambayo Kenya imeipata ni IPI?. Acheni kudanganyana, hakuna cha bahati badala yake ukilinganisha na nchi zinazoizunguka, Kenya ndio nchi iliyoathirika zaidi na ndiyo yenye vifo vingi vya Corona kuliko, TZ+UG+ET+RW+BR+SS combined.

Acheni kujiliwaza mtaendelea kwisha msopokua makini, Corona haina ukabila wala haipokei rushwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiboko Tanzania bhana.
24-2 =24.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Kenya 3.5%
Germany 2%
China 2.3%
Nigeria. 1.8%
Rwanda. 0%
Uganda. 0%

Hiyo bahati ambayo Kenya imeipata ni IPI?. Acheni kudanganyana, hakuna cha bahati badala yake ukilinganisha na nchi zinazoizunguka, Kenya ndio nchi iliyoathirika zaidi na ndiyo yenye vifo vingi vya Corona kuliko, TZ+UG+ET+RW+BR+SS combined.

Acheni kujiliwaza mtaendelea kwisha msopokua makini, Corona haina ukabila wala haipokei rushwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

"ninajiulza anatumia vigezo gani wakati ukitumia utaalamu kuzichunguza hizo "statistics", Corona unawaua wakenya Mara mbili zaidi ya Marekani, Italy na Spain, au alitaka vifo Kenya vizidi idadi ya walioambukizwa?"

Also, reporting 0 from a statistically insignificant number is mathematically useless.
The true fatality rate can only be observed when the sample size is large enough.

Pia kuna hii. Serikali za udikteta kama Rwanda na Tanzania zina mambo. China yenyewe dunia nzima imesema vifo vyao ni zaidi ya mara kumi walichotangaza.

Italy cases - 135,000
Deaths - 17,000
fatality rate - 8%

Spain cases - 140,000
Deaths - 14,000
fatality rate - 10%

USA cases - 400,000
Deaths - 13,000
fatality rate - 3.2%

Kenya cases - 172
Deaths - 6
fatality rate - 3.5%

Enda uangaliwe hicho kichwa chako.

Pia, kwa kusema ugonjwa ni mild, inaweza maanisha kwa transmission, sio kwa vifo pekee.
Yaani watu wengi hawagonjeki hapa kama tulivyo ona nchi zingine.

Kwanini nyinyi watanzania lazima mpaka basic mathematics na grammar lazima muelezwe?
So your happy for having this rate . This rate is alarming
"ninajiulza anatumia vigezo gani wakati ukitumia utaalamu kuzichunguza hizo "statistics", Corona unawaua wakenya Mara mbili zaidi ya Marekani, Italy na Spain, au alitaka vifo Kenya vizidi idadi ya walioambukizwa?"

Also, reporting 0 from a statistically insignificant number is mathematically useless.
The true fatality rate can only be observed when the sample size is large enough.

Pia kuna hii. Serikali za udikteta kama Rwanda na Tanzania zina mambo. China yenyewe dunia nzima imesema vifo vyao ni zaidi ya mara kumi walichotangaza.

Hiyo tweet umeiangalia, This particular person is just a Kagame hater. He has been asked to give prove of his accusations and he couldn’t provide even a name of the deceased.
 
A country like Kenya having a fatality rate much better than most of Europe, equal to the US.. Yeah, I'm happy.
Those reporting 0% either do not have enough testing numbers to make correct statistical analysis, or are just lying.
 
I don't know about the guy. But Rwanda has like 100 cases. That is too low to draw any conclusions.
3 people could die in one day and change that 0% to 3% immediately.
 
"ninajiulza anatumia vigezo gani wakati ukitumia utaalamu kuzichunguza hizo "statistics", Corona unawaua wakenya Mara mbili zaidi ya Marekani, Italy na Spain, au alitaka vifo Kenya vizidi idadi ya walioambukizwa?"

Also, reporting 0 from a statistically insignificant number is mathematically useless.
The true fatality rate can only be observed when the sample size is large enough.

Pia kuna hii. Serikali za udikteta kama Rwanda na Tanzania zina mambo. China yenyewe dunia nzima imesema vifo vyao ni zaidi ya mara kumi walichotangaza.

Mkishashindwa ndio mnatafuta sababu, mbona Rwanda wanaendelea kutoa idadi ya walioambukizwa, huku Kenya ikimkata mtu aliyesema kwamba Kenya imeficha idadi ya watu waliokufa kwa Corona.

Kwahiyo yule aliyesema kwamba kuna watu walikufa kwa Corona Kenya lakini serikali inaficha akakamtwa na serikali yenu, yeye alikua anasema uongo, ila huyu wa Rwanda kwako unaona yeye anasema ukweli, wanafiki wakubwa ninyi.

Vipi serikali yenu hadi Leo inaficha ukweli kwamba kuna wabunge 17 wameathirika?, wakati waziri MKUU wa UK anatangazwa, nini mnaficha, eti kuna Uhuru wa habari Kenya. Kenya is a shit hole and failed state

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hadi kWa ugonjwa mnaleta mashindano,waaafrika na ujinga ni kitu Moja.
 
Mkishashindwa ndio mnatafuta sababu, mbona Rwanda wanaendelea kutoa idadi ya walioambukizwa, huku Kenya ikimkata mtu aliyesema kwamba Kenya imeficha idadi ya watu waliokufa kwa Corona.

Kwahiyo yule aliyesema kwamba kuna watu walikufa kwa Corona Kenya lakini serikali inaficha akakamtwa na serikali yenu, yeye alikua anasema uongo, ila huyu wa Rwanda kwako unaona yeye anasema ukweli, wanafiki wakubwa ninyi.

Vipi serikali yenu hadi Leo inaficha ukweli kwamba kuna wabunge 17 wameathirika?, wakati waziri MKUU wa UK anatangazwa, nini mnaficha, eti kuna Uhuru wa habari Kenya. Kenya is a shit hole and failed state

Sent using Jamii Forums mobile app

Have you been following this thread. Ama umeropokwa tu?
Kenya has a policy against fake news. Wale wanasambaza uhondo wa uongo kuhusiana na corona watashtakiwa.
Hii ni pamoja na wale wanaotangaza matibabu ambayo hayajadhibitishwa na sayansi.

Waziri mkuu wa UK alitangaza mwenyewe kwamba ako na Corona. Hakutangaziwa na yeyote bila idhini.

Kenya pia, mbunge ama yeyote aliyepatikana nayo ana freedom yake kutangaza. Hakuna anayefaa kutangaza bila idhini ya mgonjwa.

Even in your dictatorial country, I though you would know one or two things about confidentiality. Especially doctor-patient confidentiality.
 
A country like Kenya having a fatality rate much better than most of Europe, equal to the US.. Yeah, I'm happy.
Those reporting 0% either do not have enough testing numbers to make correct statistical analysis, or are just lying.
Umesahau kufikiria kitu kimoja muhimu, hizo nchi za ulaya zimekuwa na Corona kwa miezi miwili, Kenya imeingia juzi tuu hapo.
 
Kama ungeingia darasa la statistics, ungefahamu ile nonsense umeongea.
We are talking of fatality rate, which is a percentage.
Hatuongei kuhusu absolute numbers.
 
Statistics nini bana? Watu tulifanya mpaka higher mathematics tukacheza na Stirling's approximation, mambo ya gamma function hayo, we unajua hata Euler's identity ni nini?
 
Back
Top Bottom