Kenya ndio itakuwa chanzo kikuu cha maambukizi ya corona Africa mashariki na kati.
Wewe mtu unazuia watu wasitembee usiku lkn mchana ruksa, hivi hizi ni akili au matope
Tanzania nako vipi ambako si mchana wala usiku. Wewe mbele kwa mbele tu?
Nadhani Kenya na nusu Shari wanaweza kuwa nafuu zaidi kuliko sisi.