article ni misleading... ni kweli tumepiga order ya E2's zaidi ya Kumi...lakini hii unveiling si ndege yetu, ni ndege ya manufacture, Si unajua ukiwa we ni customer mkubwa unapewa special treatment. .. Wameleta hio ndege tupige testing, tualike frequent flyers wa KQ waje waikague na watoe comments zao, turuke nayo hewani tuone ikoje, marubani wetu waanze farmiliarisation...tuwaambie tunataka seat arrangement za aina gani alafu tukimaliza inaregeshwa Brazil na tunangojea zetu zitoke kiwandani...