Kenya's National carrier adds the world's quietest and most efficient passenger jet to its growing fkeet

Kenya's National carrier adds the world's quietest and most efficient passenger jet to its growing fkeet

Soma hiyo
 

Attachments

  • Screenshot_20180729-153135.png
    Screenshot_20180729-153135.png
    103.5 KB · Views: 27
article ni misleading... ni kweli tumepiga order ya E2's zaidi ya Kumi...lakini hii unveiling si ndege yetu, ni ndege ya manufacture, Si unajua ukiwa we ni customer mkubwa unapewa special treatment. .. Wameleta hio ndege tupige testing, tualike frequent flyers wa KQ waje waikague na watoe comments zao, turuke nayo hewani tuone ikoje, marubani wetu waanze farmiliarisation...tuwaambie tunataka seat arrangement za aina gani alafu tukimaliza inaregeshwa Brazil na tunangojea zetu zitoke kiwandani...
Evidence ya order ndege 10 Embraer mnazongoja?
 
u have only 2 planes and u are here talking alot..if you had 40 the servers could be full by now
We have 5 planes now, 3-bombadier -Q400 ,1-dreamliner na dege moja lililokua limesalia wakat shirika lilipokua taabani
 
Back
Top Bottom