Kenya's Oil to go through Hoima Tanga Pipeline

Tunategemeana bro. Uganda wanategema njia ya bomba kutoka kwetu, nasi tunategemea kipato vha dola 12.12 kwa kila pipa la mafuta litakalopita humo. Ni win win situation!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji385] [emoji385] [emoji385]
He who laughs last, laughs the loudest.
 
Kwa siku bomba lirakua linapitisha mapipa 216,000. Sasa zidisha hio mara $ 12.20. Unapata $ 2'635'200 kwa siku. Si hela ya kitoto hio. Inazidi kwa mbali kabisa mapato ya madini na korosho! [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]

duuuuu kumbe kwa siku. je kwa wiki kwa mwezi na kwa mwaka itakuwaje??
hili mbomba lazima tulilinde kwa gharama yoyote ile.
 
Umeona eeh. Ila sijaona mkataba wake bado
 
Mungu wangu,sasa Wakenya si wanaanza kuisoma namba hata kabla namba yenyewe haijaandikwa
 
utekelezaji unaenda vizuri. the corridor is open and handled to a contractor after the GoT payed the land compensation to PAP.
majirani njooni mpitishe wese lenu hoima - Tanga route. ina faida zaidi kwenu. hili ni Bomba lenu pia.
lina faida kubwa sana za kiuchumi.
Bravo
 
Hii deal ilibidi tuu tuichukuwe, ni kama hela ya bure. Unaweza kulinganisha na mtu anakupa hela eti kwasababu umemsaidia sehemu ya kulala nyumbani kwako, kitu ambacho hakijakugharimu chochote.
 
Same time Tanzania itengeneze Pesa
Tanzania ndio Moyo wa EA, Tanzania ni nchi pekee ya East Africa inayopakana na nchi zote za EA
Are you sure? Where is Southern Sudan?
 
duuuuu kumbe kwa siku. je kwa wiki kwa mwezi na kwa mwaka itakuwaje??
hili mbomba lazima tulilinde kwa gharama yoyote ile.
Tutakuwa tunapiga aprox $945mn per year, achilia mbali ajira za moja kwa moja, port ya Tanga na mafaida mengine kede, kumbuka Kenya wanaingiza 800mn ya utalii kwa mwaka,
huu mpunga unakuja hatujatumia hata mia yetu,
 
duuu mpunga jamani mpunga jamani uuuiiiiii kama ngosha. mihela yote hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…