Kenya's population stands at 47.6 million; Nairobi most populous county with 4.4 million people. A breakdown

Mbona Kenya hatulipuani watoto kama Tanzania? Yaani bado hatujafika milioni 50? Hii imenishangaza sana. Tunafaa kukaza kamba na kucheza mchezo wa kitanda kama Wabongo.
Na vile vyuma vimekaza hivi na population ndogo hivi hebu jiulize ya Tz je na wako 60+ million?
 
Exactly my point where Dar is slum, the largest in the world has 4 million people. See you life!!! Pwahahahaa
Dar Kwa sasa tumeshafika 6ml tunaelekea 7mil
 

Census for 2 months? unaona sasa tatizo linapoanzia? next time hunger ikitokea you should blame your government
 
My Geography, History and Civics (GHC) Teacher Mr. Muiruri used to tell us repeatedly that " The poorer the home, the more the children" case and point today is no doubt Tanzania. Yani ni idleness na ili kuji-keep busy ni kumgeukia mke wako wakati wowote haswa mchana na kufanya mechi kitandani hivyo kuzaa zaidi. Ndio haya wanaoimba mapambio ila ni maskini wa kutupwa.
 
Sasa hiyo PCI ndo itapunguza njaa??
 
KENYA
47 million - GDP $100billion
Vs
Tanzagiza
60
million - GDP $55billion
Huo ndio ukweli unless you have alternative date to refute the same.
Pamoja na hiyo population bado mnapewa misaada ya chakula kutokana na kuteseka na njaa.
 
Sababu ingine ni kwamba wakenya wengi wanauliwa na terrorist attacks, njaa, crime, political violence, police killings na road accidents.
Tanzania watu wanakufa zaidi kuliko Kenya!!! ndio maana Mkenya ako na life span kubwa kuliko Mtanzania!!
 
Pitia post #37[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnazaana tu km sijui nini...
Umaskini siku zote humfanya mtu afikirie kupigana miti tu ndio angalau apunguze mawazo
Hueleweki na ndio maana unaandika pumba
 
mwaswast,

Kunyan after kushindwa argument. Karne hii mnapewa misaada ya chakula.
Unasema population yenu ni ndogo sasa mbona mnashindwa kuilisha hiyo population ndogo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hadi msaidiwe na UAE pamoja na China.
 
Watakuja na zile takwimu zao za NGO
 
Pitia post #37[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnazaana tu km sijui nini...
Umaskini siku zote humfanya mtu afikirie kupigana miti tu ndio angalau apunguze mawazo
Pamoja na Kuzaana kote hatuombi wala kutaka kupewa misaada ya chakula karne hii maana hatuna uzembe wa kijinga huku kwetu kama huko kwenu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa kama una njaa nguvu ya kuzaana unatoa wapi.
 
Ukubwa wa Tanzania
Ni Kenya +Uganda+Burundi+Rwanda
Na change inabakia
Hilo hujaliona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…