Kenya's population stands at 47.6 million; Nairobi most populous county with 4.4 million people. A breakdown

tanzania hizo data wamezipataje (2019)??? sensa ya mwisho sijui ilifanyika mwaka gan, nadhan miaka 10 imepita!
In 1960 Tanzania population was 10m while Kenya`s was 8m
In 1970, Tz was 13.6m while Kenya was 11.2m
In 1980, Tz was 18.6m while Kenya was 16.2m
In 1990, Tz was 25.4m while Kenya was 23.4m
In 2000, Tz was 34.1m while Kenya was 31.4m
In 2010, Tz was 46.1m while Kenya was 41.3m
Now in 2019, Tz is 59m while Kenya is 47m

Wenye wanasema eti Kenya wanazaana to please observe this trend, in 1960 Kenya and Tanzania were almost the same population wise. Now we are in 2019 and the gap between Kenya and Tanzania is 12m.
 
This is the problem of arguing with albino eater. The 187k is the total number of people in Kibera constituency and the constituency is divided into groups. Kibera slum is one part of Kibera constituency. Others are Lindi estate, Kenyatta, Golf course. This part is also Kibera.
View attachment 1256427View attachment 1256428
NHC LANGATA looking good. Hakuna estate kubwa kama hiyo tz mzima na kama iko niletewe evidence
 
Title deeds ya hizo maboksi za tofali iko wapi? Who is the owner?

Bongo zipo estate kubwa nyingi tu na zimejengwa kwa mpangilio na kufuata taratibu. Tanzania haiwezi kuingia mkenge kujenga sehemu ambayo haimiliki eneo. Hakuna kukurupuka huku.

Hivi kibra ndio kibera? So mariga alikuwa anataka ubunge wa kibera au kibra?
 
😂 😂 unachekesha. Hizo nyumba ziko designed, constructed, managed and owned by Kenyans. NHC ni parastatal na najua huko bongo pia iko

Zipo kwa mdomo tu lakini picha hakuna??

Kibra ni Constituency ambayo inainclude Kibera slum and adjoining estates
 
[emoji23] [emoji23] unachekesha. Hizo nyumba ziko designed, constructed, managed and owned by Kenyans. NHC ni parastatal na najua huko bongo pia iko
ndo maana zinaanguka anguka hizo jengo zenu
 
Wewe isipokua ni mdomo kubwa, hizo nyumba hapo most tanzanians cannot afford. Have lived there na most ni 3 bedrooms with a price tag of 7m ambayo ni 150m+ kwa pesa ya madafu na ziko sold out as we speak
 
[emoji23] [emoji23] unachekesha. Hizo nyumba ziko designed, constructed, managed and owned by Kenyans. NHC ni parastatal na najua huko bongo pia iko

Zipo kwa mdomo tu lakini picha hakuna??

Kibra ni Constituency ambayo inainclude Kibera slum and adjoining estates
Onesha title deeds ya hizo nyumba kwamba kweli zinamilikiwa na serikali. Nachojua ni kwamba serikali ilijenga katika eneo ambalo haina Hati. Na ndio mgogoro upo hapo hadi Sasa.

OK.. Mbona kwenye roaster ya majina ya wapigakura sijaona street ya Lang'ata? Kwamba kibera ime stretch hadi westland?
 
Wewe unaona nikama zinamilikiwa na nani?
 
This is the problem of arguing with albino eater. The 187k is the total number of people in Kibera constituency and the constituency is divided into groups. Kibera slum is one part of Kibera constituency. Others are Lindi estate, Kenyatta, Golf course. This part is also Kibera.
View attachment 1256427View attachment 1256428
The House upgrading programme should take course with the incoming MP. By 2022 Nairobi will be a very different place altogether.
 
Wewe unaona nikama zinamilikiwa na nani?
Sijui zinamilikiwa na nani ndio maana nimekuuliza. Za kibera naona ndio NHC wanajaribu kupata Hati Sai..but hizo za Lang'ata bado mzozo.

Halafu ni ajabu shirika la nyumba la taifa kuuzia watu nyumba bila Hati. Huo ni utapeli.

Screenshot_20191108-065411~2.jpeg
 
Sijui zinamilikiwa na nani ndio maana nimekuuliza. Za kibera naona ndio NHC wanajaribu kupata Hati Sai..but hizo za Lang'ata bado mzozo.

Halafu ni ajabu shirika la nyumba la taifa kuuzia watu nyumba bila Hati. Huo ni utapeli.

View attachment 1257354
Sasa mzozo langata katokea wapi na hakuna evidence. Hizo nyumba ni za wakenya.
Do they look too good to not be Kenyan owned?
 
Back
Top Bottom