Kenya's population stands at 47.6 million; Nairobi most populous county with 4.4 million people. A breakdown

Kenya's population stands at 47.6 million; Nairobi most populous county with 4.4 million people. A breakdown

Kwhyo ilkua unayajua hayo..hemu tueleze hvyo viungo baada ya kuvipata huvipeleka wapi
Waganga wa kienyeji ndio waliokua wakiwaagiza tena haikuanza na viungo vya albino ilianza na nywele zao kisha mifupa yao hata kama ni marehem wanafukua kaburi.
 
LOL maisha ninayoishi ni wakenya wachache sana wanayamudu, kati yao wewe haupo.
This is the bitter pill you'll have to swallow, GDP ya Kenya ni $99b na ya tz $62b irregardless kama naishi kama wewe au la
 
Kulingana na Forbes..lkn kuna wanaume wana hela lkn wametulia tu..
Huyo ndio mwenye pesa kuliko wanaume wote africa na ana watoto 15.wewe hutafuti watoto na pesa huna unajigamba ujinga hapa.
 
Hata $80B hamgusi
Endelea kupika data kwa mdomo kama ccm

Ukichukua gdp ya Kenya $99b ugawe by population 47m utapata per capita income inafikia roughly $2,000+ (47*2=98)
Tz gdp $62b ugawe by population 58m utapata per capita income inafika $1,100

Numbers dont lie baba.
 
Kulingana na forbes..lkn kuna wanaume wana hela lkn wametulia tu..
haiwezi kuwa uniform hilo swala.kwamba eti sababu ni masikini ndio unazaa hovyo.hapana.

matajiri pia wapo,ila sababu matajiri asili yao ni wachache inakuwa ngumu kuwaona.
 
Nairobi Metropolitan Region (Nairobi, Kiambu, Machakos, Muranga, Kajiado): 10.2 Million

Mombasa Metropolitan Region: 3 Million
 
Wacha kupinga facts. Wacha kuwa mjinga. Sijui unajaribu kupinga kuwa Kenya plastic imebaniwa ama unajaribu kupinga nini. Sipendi kuargue na watu wajinga.
Sasa hapo nimepinga fact ipi 😂😂😂 watu hawanyi kwenye flying toilets au,
Au siku hizi wameupgrade 😂😂😂
 
Endelea kupika data kwa mdomo kama ccm

Ukichukua gdp ya Kenya $99b ugawe by population 47m utapata per capita income inafikia roughly $2,000+ (47*2=98)
Tz gdp $62b ugawe by population 58m utapata per capita income inafika $1,100

Numbers dont lie baba.
Gawa $80B kwa watu 47.5M
 
Nigeria-923768 sq km
Tanzania-945087 sq km
Umeona, na kuna space inabaki ya kufit Rwanda na Burundi.
Alafu tupo 60 - 70 million. Naija sasa wanafika 200millions.

Ndio maana Magu huwa anasema watu wazaliane kwenye awamu yake, hili linchi bado sana kulitosheleza.
 
Hii itabidi tuoe wake wanne wanne kila mmoja, tuko wachache sana nchi hii, jameni tufyatue watoto...hela tunazo.
Bwaaaaaahhh umeona waliokupa like yupo injinia wa kibera kakuunga mkono anajua mkizidi kuzaliana atapata tenda za kujenga new slums
 
Umeona, na kuna space inabaki ya kufit Rwanda na Burundi.
Alafu tupo 60 - 70 million. Naija sasa wanafika 200millions.
Ndio maana Magu huwa anasema watu wazaliane kwenye awamu yake, hili linchi bado sana kulitosheleza.
Magu tatizo lake anafikiri kama mtu ambaye hajasoma. Anafikiri population kubwa ndio italeta mali kwenye nchi. Industrialisation ndio itasaidia nchi za Afrika.
 
Back
Top Bottom