Kenya's population stands at 47.6 million; Nairobi most populous county with 4.4 million people. A breakdown

Hujitambui
Unaruka ruka kama konokono
Yaani mie niwe na uwanja wa 100m na watu 50
Wewe una 50m
Watu 45
Nani Mwenye shida hapo
Nigeria is same size as Tz but with a population four times ile ya Tz
 
Ukwel ni kwamba..1960 hatukuachana mbali, lkn kufikia sasa jamaa mnaenda kw kasi kubwa sana
Ukubwa wa Tanzania
Ni Kenya +Uganda+Burundi+Rwanda
Na change inabakia
Hilo hujaliona?
 
Chris Msando alipomaliza hii interview, Jubilee wakamkata kichwa
 
Kenya kwa kupika Data hamjambo, yaan hii yote kutaka kuwaaminisha kwamba hamzaliani sana....
Shame

Wekeni vitu original acheni blah blah, wakenya mpo 50+M ila basi tuu kwasababu mshazoea kupika data basi mnaona sawa tuu

Kuweni realistic wazee
 
Hujitambui
Unaruka ruka kama konokono
Yaani mie niwe na uwanja wa 100m na watu 50
Wewe una 50m
Watu 45
Nani Mwenye shida hapo
Japan ina population ya 120million na Ni ndogo Mara tatu ya TzπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ dhihirisha ujinga tena...afu konokono anaruka kivipi? Moto wako nitaushusha chini usipowacha kutumia akili Kama kofia....bure Kama Nchi yako.
 
Kenya kwa kupika Data hamjambo, yaan hii yote kutaka kuwaaminisha kwamba hamzaliani sana....
Shame

Wekeni vitu original acheni blah blah, wakenya mpo 50+M ila basi tuu kwasababu mshazoea kupika data basi mnaona sawa tuu

Kuweni realistic wazee
Weka data yako uliocollect tutaiamini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ bure kabisa Kama Tanzagiza. Maskini na ngono Ni Kama Chanda na Pete...hivi Sasa mpo millioni 60 na vile mnakwamilia LDC hata Ndege zenu zinatekwa kwa Madeni na Umasikini wenu.
 
Hii itabidi tuoe wake wanne wanne kila mmoja, tuko wachache sana nchi hii, jameni tufyatue watoto...hela tunazo.
The campaign to empower women and girlchild is working so pole.
Keeping a girl longer in school be it lower or higher education reduces instances of early marriages and childbirths.
Ha! I wonder gwiji kama wewe hujaliona hilo.
We are taking the European route as a country,they have really shaped us,a la South Korea.
 
Kama resources zipo hakuna shida, waache wazaliane walime mapori yasio na mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…