Kenya’s retail market ranks top in Africa

Mjenge vyoo kwanza ili muondoe Ukunya kwenye akili yenu.
 
Tell me the % of Kenyans who can shop in those malls/supermarket.
Kenya is second to SA interms of % of the population shopping in supermarkets/malls in Sub sahara Africa... with btn 30-40% of the population.

Kenya’s retail sector ranks as second-most formalised in Africa
” the report said.
Online real estate platform Lamudi, part of Germany’s Rocket Internet, has also tapped Nairobi as one of the world’s fastest-growing real estate markets this year, with particular mention of the prospects for commercial and retail real estate, which it says will benefit from a rise in white-collar professionals.
Formal market expansion
In comparison to other African markets, Kenya’s formal retail penetration rate – which ranges from 30% to 40%, according to analysts – is the second highest in sub-Saharan Africa. This places the country at roughly half the level of South Africa, where formal retail is estimated to stand at 60% of overall activity, but twice that of Nigeria, Africa’s largest economy.
 
hii sasa ni hasira😀😀😀tuliza pressure kwanza kisha uchape research...retail sector ya kenya can only be rivalled by egypt moroco and SA
Tatizo ni kwamba hajazoea kuona watu waki demand rights zai.... kenya has a high consumer insight protection with population who know what they should be getting.. Si ni juzi tu jamaa amepeleka cocacola kotini akitaka wa lable chupa zao za glass wakionyesha ingredients...

kile ambacho wakenya wanalalamikia tuskeys, huko bongo ni kitu cha kawaida.... bongo wanasmamishwa kwa laini ndefu wakingojea kulipia bidhaa na jamaa wananyamaza tu...kenya ukifanya hivyo jamaa wanakugomea hapo hapo
 
yes best in africa...nimekwambia nenda karaikoo kafanye shopping...hio ndio ligi yenu😀😀😀
Uliambiwa TZ hakuna shopping malls ?? Au uliambiwa shopping markets Dar zipo tu Kariakoo ?? 😀😀
 
Tatizo ni kwamba hajazoea kuona watu waki demand rights zai.... kenya has a high consumer insight protection with population who know what they should be getting.. Si ni juzi tu jamaa amepeleka cocacola kotini akitaka wa lable chupa zao za glass wakionyesha ingredients...

kile ambacho wakenya wanalalamikia tuskeys, huko bongo ni kitu cha kawaida.... bongo wanasmamishwa kwa laini ndefu wakingojea kulipia bidhaa na jamaa wananyamaza tu...kenya ukifanya hivyo jamaa wanakugomea hapo hapo
Tatizo sio kwamba mna demand rights ukweli ni kuwa hamna alternative. Services ziko monopolised. Mko kama mbuzi aliyefungwa kamba mnapelekwa malishoni. Kuanzia employees hadi customers wanalalamika.
 
Tell me the % of Kenyans who can shop in those malls/supermarket.
Over 80% of Kenyans shops at supermarkets, that's why hata kwa estates sahii kuna alot of mini marts ju watu washazoea hii maneno.
 
Unga pia mnagombania kwenye malls😀😀
Check out @wallacemoses95’s Tweet:
 
Over 80% of Kenyans shops at supermarkets, that's why hata kwa estates sahii kuna alot of mini marts ju watu washazoea hii maneno.
Nani alikwambia TZ hakuna mini marts ?? 😀😀 Nenda Kampala, Kigali, Kinshasa zimejaa.😀 Mnafikili dunia inazungukia hapo Kenya ?? 😀 Wakikuyu mko na ujinga flani hivi sijui ni nini ?? Check out @TheMachira’s Tweet:
 
Mjenge vyoo kwanza ili muondoe Ukunya kwenye akili yenu.
Hawa jamaa wanaakili ya kijinga kweli. Wanataka kutuona sisi mafala. Mabwenyenye wamewashika makende wanakuja na story za kijinga as if shopping in malls nikama umefanya shopping mwezini😀😀 Ndo maana mimi huyakuta yakizulula huko kwenye shopping malls😀😀 Wamesha fanya huko nisehemu yakutembelea
 
Nani alikwambia TZ hakuna mini marts ?? 😀😀 Nenda Kampala, Kigali, Kinshasa zimejaa.😀 Mnafikili dunia inazungukia hapo Kenya ?? 😀 Wakikuyu mko na ujinga flani hivi sijui ni nini ?? Check out @TheMachira’s Tweet:

Jifunze kusoma sio kuhara maneno ovyo ovyo, nimesema mini marts zimejaa kwa estates, ju umejifeel inferior sana ndo ukaona utaje TZ na the rest hapo. Retail market ya Nairobi pekee ni TZ mzima.
 
Nimekwambia nani kakwambia TZ hakuna mini marts.?? Nikama unaishi Kibera kwahiyo ukiona mini marts kwa estates kwako ni jambo la ajabu sanaaaa. Kwa taarifa yako hadi Tandale na Mbagala kuna Mini marts.
 
Hawa jamaa wanaakili ya kijinga kweli. Wanataka kutuona sisi mafala. Mabwenyenye wamewashika makende wanakuja na story za kijinga as if shopping in malls nikama umefanya shopping mwezini😀😀 Ndo maana mimi huyakuta yakizulula huko kwenye shopping malls😀😀 Wamesha fanya huko nisehemu yakutembelea
hehee.. vp uliacha kuomba wanaume wa kenya wakunulie bia? tupe kamrejesho nawe...
 
Jifunze kusoma sio kuhara maneno ovyo ovyo, nimesema mini marts zimejaa kwa estates, ju umejifeel inferior sana ndo ukaona utaje TZ na the rest hapo. Retail market ya Nairobi pekee ni TZ mzima.
Kajipange na ma bwenyenye zako waliokuajili hapo ndo uje utwambie upuhuzi wa shopping malls hapo Kenya. Check out @KelsieKim’s Tweet:
 
hehee.. vp uliacha kuomba wanaume wa kenya wakunulie bia? tupe kamrejesho nawe...
Sikuhizi walifilisika wana kunywa changaa na mimi situmii. Pili nilisema mwanaume wakenya hawezi lipia bill ya mwenzake sio kumnunulia beer.😀😀
IMG_20180522_095714.jpg
 
Tatizo sio kwamba mna demand rights ukweli ni kuwa hamna alternative. Services ziko monopolised. Mko kama mbuzi aliyefungwa kamba mnapelekwa malishoni. Kuanzia employees hadi customers wanalalamika.
Kenya ambayo iko na 3 times the number of malls comparrd to Tz ndo haina competition? ha!

Hebu tutajie malls za Tz zinazojulikana
 
Nimekwambia nani kakwambia TZ hakuna mini marts.?? Nikama unaishi Kibera kwahiyo ukiona mini marts kwa estates kwako ni jambo la ajabu sanaaaa. Kwa taarifa yako hadi Tandale na Mbagala kuna Mini marts.
Na ni nani kakuuliza? Si ni wewe umeanza kujiharia mwenyewe.
 
Kenya ambayo iko na 3 times the number of malls comparrd to Tz ndo haina competition? ha!

Hebu tutajie malls za Tz zinazojulikana
Nikupatie unashindwa jipatie
Mimi sina mambo ya spoon feeding. Weka ni weke pimbi wewe !!
 
Back
Top Bottom