Kenya's Safari Rally readmitted in the World Rally Championship Circuit

We be playing in the big league
1569589837409.png
 
Hongereni sana.

Manvir Brayan na Karan Patel inabidi waingie kwenye top 5 katika rally.
 
Good start.

The route is not as adventurous as the old rally route because the rally will happen in private roads near Nairobi and naivasha.

I read FIA wished the route could be made taugher.
Meaning it should have happened away from the cities on taugh roads!!

Good Continuation.

Point of correction, and We don't need your hypocrisy... crawl back to your shithole.
 
Hizi ni habari nzuri sana kwa KTB na kwa sekta ya utalii Kenya. Fursa za kujitangaza zaidi ndio hizi hapa. Safari rally ilikuwa Kenya miaka ya 1963-2012 na ilikuwa na sifa ya the 'most toughest rally in the world'. Safari, Safari Rally, jina Hakuna matata na ule wimbo wa Jambo Bwana ndio zilikuwa brand za Kenya enzi hizo.
 
Hizi ni habari nzuri sana kwa KTB na kwa sekta ya utalii Kenya. Fursa za kujitangaza zaidi ndio hizi hapa. Safari rally ilikuwa Kenya miaka ya 1963-2012 na ilikuwa na sifa ya the 'most toughest rally in the world'. Safari, Safari Rally, jina Hakuna matata na ule wimbo wa Jambo Bwana ndio zilikuwa brand za Kenya enzi za Safari Rally.

Ilikuwa East African Rally jomba.
 
Watafanya michezo yao huko alafu watakuja kutalii kwenye mbuga zetu tupige pesa [emoji23][emoji23][emoji23]
Inauma but itabidi mzoee.
 
Nisawa Tu wataletwa na Kenya airways na warudishwe na Kenya airways via NBO. It's okay y'all can feed on the breadcrumbs as usuall....we are a very generous big brother!!
 
Cha msingi tupate pesa hata wakija kwa guta
Nisawa Tu wataletwa na Kenya airways na warudishwe na Kenya airways via NBO. It's okay y'all can feed on the breadcrumbs as usuall....we are a very generous big brother!!
 
Watafanya michezo yao huko alafu watakuja kutalii kwenye mbuga zetu tupige pesa [emoji23][emoji23][emoji23]
Inauma but itabidi mzoee.
We don't care man, Kenya hatuna hiyo akili ya "ukiona mwenziyo ana kitu usidhani amechukua chako, nenda tafuta new opportunities", fundamento wewe
 
Pole pole tu na na hivyo ndivyo F1 itaingia Kenya na Afrika kea ujumla.
 
Watafanya michezo yao huko alafu watakuja kutalii kwenye mbuga zetu tupige pesa [emoji23][emoji23][emoji23]
Inauma but itabidi mzoee.

Mbona iume ilhali tutakua tumewakwapua, kwanza sisi wenyewe ndio tutawatangazia vivutio vya huko ili tuwatafune zaidi, tayari tunawatangazia waje kwenye michezo kisha watapata fursa kujionea mlima wetu wa Kilimanjaro, hii itasababisha waje wengi, baada ya kuwatafuna tutawaleta huko washangae shangae mlima na nyumbu ili na nyie mpate makopo kisha tuwarejeshe huku na kuwaaga.
 
1569640832135.jpeg
1569640832135.jpeg

Hizi ndio picha zitatumika kupiga promo: 😁
 
Back
Top Bottom