Nimeongea halotel duniani na pia kwa tz na ndani ya muda mfupi wamefikia target yao covarage ipo vijijin yakutosha
Plz wandugu eti kuna mawakala wa Mobile Money transfer ya mitandao ya Kenya km hao safaricom apa bongo na km wapo,wapi wanapopatikana?
mimi natumia Airtel na Orange internet, Safaricom ni ya mpesa tu.Mimi hapa natumia halotel for internet services, 3g utadhani 5g. Last year nilikuwa tigo.
Nyie mtu anazaliwa hadi anakufa anatumia safaricom, amesha monopolize market yote ya Kenya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuuu kenya ni world superpower naskia mmeongezwa nafasi g8 sasa inaitwa g9 hongereni
AbsolutelyIssue sio coverage bali ubora wa huduma. Unaweza kuwa na coverage hadi Serengeti kule kwa nyumbu lakini kama huna ubora mjini ambapo binadamu wapo unakua useless. Hakuna kitu nachukia kama slow internet maana shughuli zangu zinahitaji mtandao imara.
Hata Safaricom kuna siku walikua wamenichukiza sana, ila siku hizi naona wamepata akili maana mtandao wao upo sawa sana.
Kampuni ya kinyesiHalotel ndio nini hapa africa mashariki? Kampuni ya mkorogo ama??