MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #21
Nimeongea halotel duniani na pia kwa tz na ndani ya muda mfupi wamefikia target yao covarage ipo vijijin yakutosha
Issue sio coverage bali ubora wa huduma. Unaweza kuwa na coverage hadi Serengeti kule kwa nyumbu lakini kama huna ubora mjini ambapo binadamu wapo unakua useless. Hakuna kitu nachukia kama slow internet maana shughuli zangu zinahitaji mtandao imara.
Hata Safaricom kuna siku walikua wamenichukiza sana, ila siku hizi naona wamepata akili maana mtandao wao upo sawa sana.