joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hahahaha, hahahaha. Kenya ni dhahifu katika upande wa Jeshi.Kinacho sikitisha sana nikwamba Ethiopia hawaja omba msamaha! Wamesema ni wao walio piga chini ndege hio na wataendelea kuzipiga mabomu ndege zote zinazo ingia anga ya somalia bila ruhusa Yao.
Sent using Jamii Forums mobile app