Kenyatta aahidi elimu bure Kenya

Kenyatta aahidi elimu bure Kenya

Siasa bwana, wakati Mwalimu akitoa elimu bure walisema eti ni ujamaa sasa nao wanaelekea huko huko! Kibaya zaidi waliomkashifu Mwalimu wengine wako hapa hapa na walijilinganisha na Kenya! R.I.P Mwalimu.

cc: Waliobinafsisha elimu!

Enzi za Mwalimu elimu haikuwa bure, kama kuna uwezekano waulize ndugu zako waliosoma kipindi hicho watakwambia.
 
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta alitoa ahadi ya kutoa elimu bure kwa wananchi wa kenya.
Alitoa kauli hiyo Jana wakati akijinadi mbele ya raia wa kenya.
Alisema iwapo atapata nafasi hiyo kwa awamu ya pili atatoa elimu bure kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha NNE. (O' level)
Kumbe nayeye ni mpuuzi!
 
Enzi za Mwalimu elimu haikuwa bure, kama kuna uwezekano waulize ndugu zako waliosoma kipindi hicho watakwambia.
Kilam ebu eleza kidogo. Nimesoma miaka ya nyuma (1970s to 1980s) sikuwahi kutoa hata senti tano. Nilikuwa napewa dry ration tukifunga shule toka kusini mpaka lake zone na travel warrants, pen, kalamu ya risasi, madafutari, toilet papers, sabuni- laundry and toilet, pocket money, wino, mashuka, blanket, mayai, maziwa, etc, etc
 
Mimi baba na mama walisoma miaka ya 1960 na walikuwa wanalipa karo, hiyo ni kwa elimu ya msingi.
 
Enzi za Mwalimu elimu haikuwa bure, kama kuna uwezekano waulize ndugu zako waliosoma kipindi hicho watakwambia.
Niwaulizeje ndugu zangu wakati mimi mwenyewe niliisoma hiyo elimu!?
Anyway, inawezekana haikuwa bure sababu ya 'areas' za mazao ya kilimo na huduma nyingine kufanya subsides lakini ukweli unabaki pale pale kwamba huwezi kuwapata wananchi wenye akili (intelligent) ambao kimsingi ni wachache kwa mfumo huu watu wachache kupeleka watoto wao shule binafsi na kusema eti "wengine watajijua".
Ni sawa na kutaka kiwango cha michezo/mpira kipande (mfano) lazima uwe na mfumo unaofunction nchi nzima kama UMISETA, UMITASHUMITA nk na sio kujenga uwanja nyumbani kwako kwa ajili ya watoto wako na 'wazito mwenzio'.
 
Niwaulizeje ndugu zangu wakati mimi mwenyewe niliisoma hiyo elimu!?
Anyway, inawezekana haikuwa bure sababu ya 'areas' za mazao ya kilimo na huduma nyingine kufanya subsides lakini ukweli unabaki pale pale kwamba huwezi kuwapata wananci wenye akili ambao kimsingi ni wachache kwa mfumo huu watu wachache kupeleka watoto wao shule binafsi na kusema eti "wengine watajijua".
Ni sawa na kutaka kiwango cha michezo/mpira kipande (mfano) lazima uwe na mfumo unaofunction nchi nzima kama UMISETA, UMITASHUMITA nk na sio kujenga uwanja nyumbani kwako kwa ajili ya watoto wako na 'wazito mwenzio'.

Sawa nimekuelewa.
 
Back
Top Bottom