Kenyatta afungua mipaka ili biashara ifanyike Kenya, sasa Tanzania endeleeni na ujamaa muone kiama

Kenyatta afungua mipaka ili biashara ifanyike Kenya, sasa Tanzania endeleeni na ujamaa muone kiama

Kenyatta jana baada ya kuhapishwa ametisha, amesema raia yeyote wa Afrika Mashariki ruksa kutumia tu kitambulisho cha kura kuingia Kenya na kufanya kazi, biashara na kadhalika, wengi tutaenda Kenya
Hata me naenda
 
Mitaji inayotafutwa siyo ya wauza nguo za China, au matikiti maji. Wanatafuta mitaji mikubwa, ya viwwanda vikubwa. Kenya hawana jinsi, kwa sababu somehow they have a competitive edge kwenye free movement of labor and capital.
Wakiruhusu walimu wa Tanzania wahamie kwao, wanajua hawatapata kazi. Nobody will hire them, labda wakapige umachinga.
Hili la wabongo kutopata ajira kenya nakubaliana nalo mia kwa mia
 
Heri sasa tuna pa kupumulia. Ahsante Sana mheshimiwa Kenyatta.
 
Kenya haina jinsi kwa sasa, nilazima tu iachie miguu, kiuchumi iko kwenye edge margin,haina rasilimali za kutosha hasa ardhi ambayo inamilikiwa na wait wasiozidi kumi ikiwemo familia ya kenyata mwenyewe, Eneo la kaskazini ni jangwa huwezi hata kuishi, nchi ya kenya ni kama mwanamke malaya ambae ameamua kujiuza!!!
Kwa sisi watanzania bado hatuwezi kuingia kwenye compitation hiyo maana sisi ni kama bikra.
Na kweli kama tunashindwa hata kumiliki nusu heka hapa sijui tunachofurahia Kenya ni kipi.
Tumeambiwa mpaka na kuoa, gens za kitanzania zinatafutwa, ukabila umewazidi wanataka kuchanganya vizazi ili kuondoa kizazi hiki cha ukabila.ushauri wangu
ni kwamba Tanzania bado ina fursa lukuki , kwa wenzangu na mimi huwezi hata pata nafasi ya kuuza mtumba huko Kenya.
 
Heri sasa tuna pa kupumulia. Ahsante Sana mheshimiwa Kenyatta.

Kenya haina jinsi kwa sasa, nilazima tu iachie miguu, kiuchumi iko kwenye edge margin,haina rasilimali za kutosha hasa ardhi ambayo inamilikiwa na watu wasiozidi kumi ikiwemo familia ya kenyata mwenyewe, Eneo la kaskazini ni jangwa huwezi hata kuishi, nchi ya kenya ni kama mwanamke malaya ambae ameamua kujiuza!!!
Kwa sisi watanzania bado hatuwezi kuingia kwenye compitation hiyo maana sisi ni kama bikra.
Na kweli kama tunashindwa hata kumiliki nusu heka hapa sijui tunachofurahia Kenya ni kipi.
Tumeambiwa mpaka na kuoa, gens za kitanzania zinatafutwa, ukabila umewazidi wanataka kuchanganya vizazi ili kuondoa kizazi hiki cha ukabila.
Shauri ni kwamba Tanzania bado ina fursa lukuki , shauri kwa wenzangu na mimi huwezi hata pata nafasi ya kuuza mtumba huko kenya[ /QUOTE]
 
Acha Wakenya waje kwani huenda tumelalia masikio, ukienda Tanga unakuta matunda yanaozea shambani,hatuna hata kiwanda cha kusindika matunda. Wao wana mtaji wataanzisha viwanda vidogo vya kusindika matunda hivyo kufungua akili zetu. Kuna fursa nyingi za kiuchumi lakini wimbo ni umaskini kila kukicha. Kabla ya Wakenya kuja tuwe na uzalendo wa kweli ili kujikwamua kiuchumi kwani kila kitu tunacho
 
Mitaji inayotafutwa siyo ya wauza nguo za China, au matikiti maji. Wanatafuta mitaji mikubwa, ya viwwanda vikubwa. Kenya hawana jinsi, kwa sababu somehow they have a competitive edge kwenye free movement of labor and capital.
Wakiruhusu walimu wa Tanzania wahamie kwao, wanajua hawatapata kazi. Nobody will hire them, labda wakapige umachinga.
Hilo ni wazi mkuu. Si unakumbuka issue ilee ya madakitari walivyong'aka? Hiyo ni politik tuu.
 
Congrats President Kenyata, you deserve a pet at your back for a wonderful decision you have made for East African citizens. You are real a leader. Live longer.
 
Hivi mfano nikiwa fisadi tanzania lakini nikawekeza assets zangu kenya. Mfano lugumi yale majumba take angejengea Nairobi then serikali ya tz ikinishtaki itaweza kutaifisha mali zangu zilizo nje ya nchi?
Hiyo ni kazi nyepesi mno kwa serikali yeyote.
 
Back
Top Bottom