Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,452
- 2,197
Hata me naendaKenyatta jana baada ya kuhapishwa ametisha, amesema raia yeyote wa Afrika Mashariki ruksa kutumia tu kitambulisho cha kura kuingia Kenya na kufanya kazi, biashara na kadhalika, wengi tutaenda Kenya
Hili la wabongo kutopata ajira kenya nakubaliana nalo mia kwa miaMitaji inayotafutwa siyo ya wauza nguo za China, au matikiti maji. Wanatafuta mitaji mikubwa, ya viwwanda vikubwa. Kenya hawana jinsi, kwa sababu somehow they have a competitive edge kwenye free movement of labor and capital.
Wakiruhusu walimu wa Tanzania wahamie kwao, wanajua hawatapata kazi. Nobody will hire them, labda wakapige umachinga.
Utaanzia wapi? Hebu rudia kusoma ulichokiandikasheria itafatwa ikithibitika ni mali za kifisadi tunataifisha tu
Heri sasa tuna pa kupumulia. Ahsante Sana mheshimiwa Kenyatta.
Kenya haina jinsi kwa sasa, nilazima tu iachie miguu, kiuchumi iko kwenye edge margin,haina rasilimali za kutosha hasa ardhi ambayo inamilikiwa na watu wasiozidi kumi ikiwemo familia ya kenyata mwenyewe, Eneo la kaskazini ni jangwa huwezi hata kuishi, nchi ya kenya ni kama mwanamke malaya ambae ameamua kujiuza!!!
Kwa sisi watanzania bado hatuwezi kuingia kwenye compitation hiyo maana sisi ni kama bikra.
Na kweli kama tunashindwa hata kumiliki nusu heka hapa sijui tunachofurahia Kenya ni kipi.
Tumeambiwa mpaka na kuoa, gens za kitanzania zinatafutwa, ukabila umewazidi wanataka kuchanganya vizazi ili kuondoa kizazi hiki cha ukabila.
Shauri ni kwamba Tanzania bado ina fursa lukuki , shauri kwa wenzangu na mimi huwezi hata pata nafasi ya kuuza mtumba huko kenya[ /QUOTE]
Hilo ni wazi mkuu. Si unakumbuka issue ilee ya madakitari walivyong'aka? Hiyo ni politik tuu.Mitaji inayotafutwa siyo ya wauza nguo za China, au matikiti maji. Wanatafuta mitaji mikubwa, ya viwwanda vikubwa. Kenya hawana jinsi, kwa sababu somehow they have a competitive edge kwenye free movement of labor and capital.
Wakiruhusu walimu wa Tanzania wahamie kwao, wanajua hawatapata kazi. Nobody will hire them, labda wakapige umachinga.
Hiyo ni kazi nyepesi mno kwa serikali yeyote.Hivi mfano nikiwa fisadi tanzania lakini nikawekeza assets zangu kenya. Mfano lugumi yale majumba take angejengea Nairobi then serikali ya tz ikinishtaki itaweza kutaifisha mali zangu zilizo nje ya nchi?