kenyatta amekosa majibu juu ya mwelekeo wa uchumi nchini baada ya kuonekana uchumi kushuka kila mwaka

Uchumi ukikua kwa 7.2 unasaidia nini kwa mwananchi wa kawaida, na kunatatizo gani ukikua kwa 4.9 kama wananchi wanaishi vyema?!
Akili zako zinakuambia Wakenya wanaishi vizuri?? Ama kweli we boga.. Watu wanaishi kwa mlo mmoja, vijana karibia asilimia zote hawana kazi hata za ndani afu unasema wanaishi vyema[emoji23] nchi nzima inamilikiwa na watu asilimia 10 tu 90 iliyobaki maskini wa kutupwa
 
wanakua kwa 7.2 ila bado LDC maskini wa kutupwa AKA asshole state...Kenya inakua kwa 4.9 ila ni middle income, most developed, richest, biggest economy and most powerful country in East AfricaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Ethiopia and tz have on thing in common and thats why are growing at lightning speed...they are both poor ldc countries
 
Uchumi ukikua kwa 7.2 unasaidia nini kwa mwananchi wa kawaida, na kunatatizo gani ukikua kwa 4.9 kama wananchi wanaishi vyema?!
Mkuu mada zingine unajipima na uwezo wako au taaluma yako ukiona sio uwanja wako wa kujidai usichangie bali unasoma maoni ya wadau wengine waliokuwa na ufahamu wa kutosha juu ya suala husika.

Unatuaibisha sana mkuu.
 
Sijui habari za uchumi, lakini hapa naona namba hasi na chanya
Kenya 4.9
Ethiopia -8.3
Tanzania -7.2
Hii maana yake nini???
 
nchi inayokua kwa 7.2 inashangilia ujenzi wa ukuta na emergency landing...Afrika Kusini ina kua kwa 0.3 ila ikona the best infrastructure in AfricaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€..ndio ujue mtz ni mtu mjinga sana barani africa..baradhuli wa dunia hawa watuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
cha kushangaza wanafatilia sana habari za Kenya kana kwamba wakimbizi...habari wanazotazama ni za NTV, Citizen TV na KTN..sijawahi kuona watu walio kosa akili kama hawa jamaaπŸ™„πŸ™„πŸ™„mwulize mkenya mmoja akutajie TV station moja tu ya bongo...hakuna anayejua wala kuwa na interest na kujua
 
7.2% sustained over 20 years will be quite significant.

These poor mungikis celebrating Kenya's stagnant bandit economy are shortsighted.

Jpm aendelee kuchapa kazi tu!
 
Uchumi ukikua kwa 7.2 unasaidia nini kwa mwananchi wa kawaida, na kunatatizo gani ukikua kwa 4.9 kama wananchi wanaishi vyema?!
Wewe akili yako umeamua kuipachika wapi.? 4 na 7 ipi kubwa?
 
Nilikuanbia juzi tu bajeti yenu haipiti $14 billion mwaka huu yani iko stagnant sawa na mwaka Jana.
usinililie mm sina chakukusaidiaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Uchumi ukikua kwa 7.2 unasaidia nini kwa mwananchi wa kawaida, na kunatatizo gani ukikua kwa 4.9 kama wananchi wanaishi vyema?!
sina hakika kama somo la uchumi ulipitia???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…