kenyatta amekosa majibu juu ya mwelekeo wa uchumi nchini baada ya kuonekana uchumi kushuka kila mwaka

USA inakua kwa 1.6 percent...SA inakua kwa 0.3, Nigeria inakua kwa negative -1.5... wajinga wengine wanaskia 7.2 percent wanaona ni kana kwamba wamekuwa first world developed country😀😀😀
USA is developed country usichanganye neno developed and developing hehehe african countries are developing and not developed sasa USA hata akiwa na uchumi wa asilimi 0.7% bado haina negative impact kwenye uchumi wake kwasabbau walishapitia industrialization 200yrs ago alaf kumbuka unemployment rate ya USA is 0.4% while kenya is 40% 😀😀😀😀😀
 
Sijui habari za uchumi, lakini hapa naona namba hasi na chanya
Kenya 4.9
Ethiopia -8.3
Tanzania -7.2
Hii maana yake nini???
ukuaji wa uchumi, yani uchumi unakua kwa asilimia ngapi ndan ya mwaka mzima
 
USA is developed country usichanganye neno developed and developing hehehe african countries are developing and not developed sasa USA hata akiwa na uchumi wa asilimi 0.7% bado haina negative impact kwenye uchumi wake kwasabbau walishapitia industrialization 200yrs ago alaf kumbuka unemployment rate ya USA is 0.4% while kenya is 40% 😀😀😀😀😀
sawa what about SA and Nigeria...hao pia ni developed countries????😀😀😀😀 yaani LDC kukua kwa asilimia kubwa hivi is not a bid deal... waulize wahabeshi...ethipia ni nchi maskini sana ila inakua kwa asilimia 8-10
 
nchi inayokua kwa 7.2 inashangilia ujenzi wa ukuta na emergency landing...Afrika Kusini ina kua kwa 0.3 ila ikona the best infrastructure in Africa😀😀😀..ndio ujue mtz ni mtu mjinga sana barani africa..baradhuli wa dunia hawa watu😀😀😀
nakushangaa ww uhuru kenyatta alisema atajenga ukuta na somalia usinioneshe ukuta wote nioneshe japo tofali moja tu😀😀😀😀 au alijua kujenga ukuta ni kama kula andazi😛😛😛 south africa haiko level ya east african countries unapozungumza jua kutafautisha mambo kisomi
 
USA inakua kwa 1.6 percent...SA inakua kwa 0.3, Nigeria inakua kwa negative -1.5... wajinga wengine wanaskia 7.2 percent wanaona ni kana kwamba wamekuwa first world developed country😀😀😀
Unawezaje kujilinganisha na USA.

U.S. GDP $19,953,300
Kenya GDP $67

US economic growth of 1.6% ni sawa na Kenya economic growth ya 70000%
 
nakushangaa ww uhuru kenyatta alisema atajenga ukuta na somalia usinioneshe ukuta wote nioneshe japo tofali moja tu😀😀😀😀 au alijua kujenga ukuta ni kama kula andazi😛😛😛 south africa haiko level ya east african countries unapozungumza jua kutafautisha mambo kisomi
ukuta sio kipimo cha maendeleo humu bana...mambo ambayo humo mnashangilia huku tunaona kama kawaida tu
 
sawa what about SA and Nigeria...hao pia ni developed countries????😀😀😀😀 yaani LDC kukua kwa asilimia kubwa hivi is not a bid deal...waulize wahabeshi...nchi maskini sana ila inakua kwa asilimia 8-10
SA and nigeria have big economies alaf sio level yetu wale forget about them walishapiga hatua sana na unapoizungumzia ethiopia ni tishio kwa sasa kwa nchi za africa inakua vzr sana japokua wapo wengi lakin wanajitahidi sana kiuchumi sio nyie munakopa pesa mpaka munatikisa uchumi na kufkia level ya kumkopa athuman na kumlipa mwajuma😛😛😛😛
 
Unawezaje kujilinganisha na USA.

U.S. GDP $19,953,300
Kenya GDP $67

US economic growth of 1.6% ni sawa na Kenya economic growth ya 70000%
what about South africa and Nigeria, Morocco, Algeria, Angola, Ghana, Egypt? sababu hizo ni nchi ambazo bado ziko kwenye kikundi cha developing countries...sasa nyie mnaimba 7 percent hamwelewi kuwa hilo ni jambo la kawaida sana nchi maskini kukuwa kwa asilimia kubwa kiasi hiki...mfano Kenya ilikua kwa 10 percent mwaka wa 2008
 
ukuta sio kipimo cha maendeleo humu bana...mambo ambayo humo mnashangilia huku tunaona kama kawaida tu
sijakwambia ni kipimo lakin kinaonesha ni vipi nchi inasema na kutenda kama alisema atajenga ukuta akijua atapata mkopo basi alifeli😀😀😀😀 na hii inaonesha vp nchi inauwezo wakutenda jambo kwa kutekeleza inayoahidi siku zote mwananchi wa chini huangalia ahadi zilizopo je zinatekelezwa
 
SA and nigeria have big economies alaf sio level yetu wale forget about them walishapiga hatua sana na unapoizungumzia ethiopia ni tishio kwa sasa kwa nchi za africa inakua vzr sana japokua wapo wengi lakin wanajitahidi sana kiuchumi sio nyie munakopa pesa mpaka munatikisa uchumi na kufkia level ya kumkopa athuman na kumlipa mwajuma😛😛😛😛
hahahaha nchi maskini inaweza kuwa hata kwa 20 percent...waulize ethiopia na india...so msione ati mmekuwa developed country kwa mambo madogo madogo kama haya bana
 
sijakwambia ni kipimo lakin kinaonesha ni vipi nchi inasema na kutenda kama alisema atajenga ukuta akijua atapata mkopo basi alifeli😀😀😀😀 na hii inaonesha vp nchi inauwezo wakutenda jambo kwa kutekeleza inayoahidi siku zote mwananchi wa chini huangalia ahadi zilizopo je zinatekelezwa
nawahurumia tu...ukuta na emergency landing😀😀😀😀
 
Unawezaje kujilinganisha na USA.

U.S. GDP $19,953,300
Kenya GDP $67

US economic growth of 1.6% ni sawa na Kenya economic growth ya 70000%
Huu upuzi unatoa wapi uchumi wa kenya uko $86bn wala sio 67.
 
what about South africa and Nigeria, egypt? hizo ni nchi mbazo bado ziko kwa nyanja ya developing country...sasa nyie mnaimba 7 percent hamwelewi kuwa hilo nijambo la kawaida sana nchi maskini kukuwa kwa asilimia hio...mfano Kenya ilikua kwa 10 percent 2008
South Africa GDP $280.37 billion
Nigeria GDP $492.98 billion
Kenya GDP $67 billion

How could you even mention them?

There are more than 10 Kenya in one Nigeria
 
sijakwambia ni kipimo lakin kinaonesha ni vipi nchi inasema na kutenda kama alisema atajenga ukuta akijua atapata mkopo basi alifeli😀😀😀😀 na hii inaonesha vp nchi inauwezo wakutenda jambo kwa kutekeleza inayoahidi siku zote mwananchi wa chini huangalia ahadi zilizopo je zinatekelezwa
Vipi mbona uchumi wenu umekua kwa asilimia 7 tangu wakati wa kikwete na hajawai toka kwa $50bn mark sai 2018 ndio ati mnafika $56bn kwenye tulikuwa 2013?....jibu ni rahisi ccm inapika data
 
South Africa GDP $280.37 billion
Nigeria GDP $492.98 billion
Kenya GDP $67 billion

How could you even mention them?

There are more than 10 Kenya in one Nigeria
hio haijalishi...nchi zote hizo ziko kwenye kikundi kimoja cha developing countries....angalia GDP per capita pia...
 
P
South Africa GDP $280.37 billion
Nigeria GDP $492.98 billion
Kenya GDP $67 billion

How could you even mention them?

There are more than 10 Kenya in one Nigeria
Tafuta uzi ulikuwa umewekwa hapa juzi wa estimates za 2018 uchumi wa kenya uko $86bn na wenyu ndio utafika $56bn huu mwaka
 
Uchumi ukikua kwa 7.2 unasaidia nini kwa mwananchi wa kawaida, na kunatatizo gani ukikua kwa 4.9 kama wananchi wanaishi vyema?!

Wananchi gani au wa nchi gani wanaishi vyema!!
Unachekesha wewe
 
nawahurumia tu...ukuta na emergency landing😀😀😀😀
emergency landing imesaidia sana kutuingizia pato na kuioaisha tanzania kimataifa, alaf ukuta usikuume kiasi hicho heheh au kwa vile uhuru kashindwa😀😀
 
Back
Top Bottom