Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
mi hapa mwanafunzi wa economics..what do you think? look at this tilapia vendor from darisalam😀😀😀Hivi unajua hata maana tu ya GDP?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi hapa mwanafunzi wa economics..what do you think? look at this tilapia vendor from darisalam😀😀😀Hivi unajua hata maana tu ya GDP?
heheh kama vile nairobi ilishawah kutua??😀😀ndege kama hizo zikitua humu hatuchukui mapicha kana kwamba washamba wa dunia...sie tumezoea
heri ila imekuwa ikifanya kazi.,nyie yenu ilizikwa miaka 20 iliopita😀😀😀😀with 5 good years loss😀😀😀😀 and leased aircrafts
sijui kama imewahi kutua ila ikitua sidhan kama wataanza kupiga mapicha jinsi nilivowaona washamba wenu wakifanya...mpaka abiria wanakwama ndani ya ndege kisa wafanyikazi wa airport wanapiga picha😀😀😀😀heheh kama vile nairobi ilishawah kutua??😀😀
hio ndoto kwenu na bahat mbaya zaidi greenfield ilishakufa yani hamuna cha kufanya ni kuumia tu
heri mie... sa wewe mfanyakazi wa duka la mhindi😀😀😀...kama ww ni mwanafunzi wa uchumi basi mzazi wako aandike maumivu tu😀😀😀😀
sio hujui unajua sana kua haijawah kutua na haina mpango wakutua dont pretend bana😀😀😀😀sijui kama imewahi kutua ila ikitua sidhan kama wataanza kupiga mapicha jinsi nilivowaona washamba wenu wakifanya...mpaka abiria wanakwama ndani ya ndege kisa wafanyikazi wa airport wanapiga picha😀😀😀😀
zikwapi?😀😀😀😀sasa tunaifufua with brand new 7 aircrafts cash deal hakuna loan wala leasing deals yani ni cash tu
You are not even approaching student status on economic stuff you just a goon with no direction or commonsensemi hapa mwanafunzi wa economics..what do you think? look at this tilapia vendor from darisalam😀😀😀
kwani ilipotua kwenu ilikua na mpango wa kutua huko ama mauritius? mbona unajichanganya?sio hujui unajua sana kua haijawah kutua na haina mpango wakutua dont pretend bana😀😀😀😀
kwenye ukweli sema tu japo unauma
😀😀😀😀naona collomziii alikukaririsha 😀😀😀😀 maana aliumia sana kuona iphone x😛😛
Men lie, women lie bt numbers dont liehatuna itikadi za kupika data sisi sio watu wasifa 😀😀 tanzania itawaumiza sana kichwa 😛😛😛 bega kwa bega tu
View attachment 767697
😀😀😀😀cha kushangaza ni wewe hapa unasherehekea ujinga wa 7.2 percent ilhali nchi ni LDC...kisha una question ujuzi wangu wa economics 😀😀😀😀You are not even approaching student status on economic stuff you just a goon with no direction or commonsense
zikwapi picha? mambo ya tuta... tuta... sitaki😀😀😀expectations sio?3 zimeshaingia brand new bombadier q400 for domestic use mwaka zinaingia tatu july ikiwemo boeing 787 moja na bombadier cs300 mbili kwa ajili ya international routes
we ni bwege sana😀😀😀...ndege huwa inatua airport ilio karibu incase of an emergency...so usidhani eti ni neema za maulana...kama ingekuwa karibu na somalia airport ingetua humo tuwalichagua hapa kutokana na vigezo usifkiri wanatua kokote tu😀😀😀😀😀 au unafkiri ni kama embe likidondoka mtini
kuamini kutoamini hio ni juu yako ila ukae ukijua munapumuliwa kisogoni na mwaka hamuendi kokote tutawabana vzr 😀😀😀😀Men lie, women lie bt numbers dont lie
$86bn-$56bn=$30bn na gap itaendelea kuongezeka
2016=$20bn
2017=$25bn
2018=$30bn
2019 naona itakua $40bn,kazi mko nayo yakufanya ndio gap ipunguke wacheni bla bla mingi kwa mitandao..