Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inategemea na usalama na airport yenyewe na wao Emirates walisema kua dar ndio airport yao walioichagua hata kabla ya hio ndege alaf still bado walikua na opportunity ya kutua viwanja vingi sana ilikwepo mozambique,dar, nairobi,south africa etc lakin wao dar ndio waneichagua kutokana na vigezo vya kiusalama na airport capabilitieswe ni bwege sana😀😀😀...ndege huwa inatua airport ilio karibu incase of an emergency...so usidhani eti ni neema za maulana...kama ingekuwa karibu na somalia airport ingetua humo tu
Nani kakudanganya wakenya wanaishi vyema?!!!!!!!.Uchumi ukikua kwa 7.2 unasaidia nini kwa mwananchi wa kawaida, na kunatatizo gani ukikua kwa 4.9 kama wananchi wanaishi vyema?!
Jamaa ananeema harafu hajui kama yuko kwenye neema!!!!!!.Akili zako zinakuambia Wakenya wanaishi vizuri?? Ama kweli we boga.. Watu wanaishi kwa mlo mmoja, vijana karibia asilimia zote hawana kazi hata za ndani afu unasema wanaishi vyema[emoji23] nchi nzima inamilikiwa na watu asilimia 10 tu 90 iliyobaki maskini wa kutupwa
hahahaha unafananisha airport za hizo nchi ulizotaja na hilo gofu lenu hapo? umesahau mmejaza vibanda vya nguruwe mnaita aiport?inategemea na usalama na airport yenyewe na wao Emirates walisema kua dar ndio airport yao walioichagua hata kabla ya hio ndege alaf still bado walikua na opportunity ya kutua viwanja vingi sana ilikwepo mozambique,dar, nairobi,south africa etc lakin wao dar ndio waneichagua kutokana na vigezo vya kiusalama na airport capabilities
Zile zenyu za tuta, tuki😀😀😀kuamini kutoamini hio ni juu yako ila ukae ukijua munapumuliwa kisogoni na mwaka hamuendi kokote tutawabana vzr 😀😀😀😀
uhahahah acha hasira basi plz maumivu sio kitu kizuri😀😀😀😀😀😀 kutua kwa Airbus A380 isiwe sababu ya kuvunja urafiki wetuhahahaha unafananisha airport za hizo nchi ulizotaja na hilo gofu lenu hapo? umesahau mmejaza vinanda vya nguruwe mnaita aiport?
hahaha mbona nauliza tu which capabilities you are talking about...please explain to me these capabilities that your airport hasuhahahah acha hasira basi plz maumivu sio kitu kizuri😀😀😀😀😀😀 kutua kwa Airbus A380 isiwe sababu ya kuvunja urafiki wetu
zikwapi hizo tatu?kwani hzi tatu mlisema nini??? simuliaema maneno hayo hayo au umesahau😀😀😀😀
kitu cha kwanza usalama wa airport na usalama wa anga husika, cha pili uwezo wa airport ku handle aircraft haraka zaidi na kingine usalama wa ngenge yao pia mbona walizungumza kila kitu😀😀😀hahaha mbona nauliza tu which capabilities you are talking about...please explain to me these capabilities that your airport has
asante kwa tuta tuki tuta😀😀😀go on dreaming unafkiri magu ni kama uhuru kenyata anawadanganya atajenga ukuta mpaka na somali akajua ukuta ni kama kula makande😀😀😀
magu akisema na kitendo kinafuata hapo hapo
ok kwa hiyo airport za nchi ulizotaja hazina capacity ya ku handle ndege ile ama sikuelewi?😀😀😀kitu cha kwanza usalama wa airport na usalama wa anga husika, cha pili uwezo wa airport ku handle aircraft haraka zaidi na kingine usalama wa ngenge yao pia mbona walizungumza kila kitu😀😀😀
ucjali hata sie tuna expectations...hata somali wana expectations😀😀😀mwez wa saba sio mbali kaka lazma nitakutafuta wala usijali kwa hilo😀😀😀😀
Ziko, zita, tuki, tuta😀😀😀😀ziko kwa manufucturer zinafanyiwa assembly na tushaanza kutangaza routes so tegemea mwez wa saba kushuhudia mengi zaidi😀😀😀