kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
Zenye umetaja are the 3 main TV stations in Kenya, Similar to FOX, CNN and MSNBC in the UScha kushangaza wanafatilia sana habari za Kenya kana kwamba wakimbizi...habari wanazotazama ni za NTV, Citizen TV na KTN..sijawahi kuona watu walio kosa akili kama hawa jamaaπππmwulize mkenya mmoja akutajie TV station moja tu ya bongo...hakuna anayejua wala kuwa na interest na kujua
Just like turkana. Hunger in turkana is an example of an isolated incidence. Doesn't mean all Kenyans are starving . Likewise, people consuming faeces in tz haimaanishi nyie nyote mnakula meffi
Hao walaji kinyesi hawako eneo/mji Fulani? What do you mean?Ahaaa haaa haaa
Stereotyping and generalisation.
Turkana ni eneo kubwa lenye watu wengi. Hivyo ni dhahiri ukisema kuna njaa. Maana wanaokufa njaa wako eneo fulani la nchi linalojulikana. Lkn hao unaosema wanakula kinyesi, hawako eneo au mji fulani. Hawa wameokotezwa maeneo tofauti tofauti. Hiyo ndo maana ya isolated incidence.
Hao walaji kinyesi hawako eneo/mji Fulani? What do you mean?
Turkana kuna ukame lakini huko kwenu mna sababu gani ya kula kinyesi?
Ahaaa haaa haaa
Nitajie ni sehemu au kijiji au kitongoji au kata au tarafa au wilaya au mkoa gani wanakula kinyesi?
Mimi nimekutajia Turkana Kenya kuna njaa ya kuua WATU.
Mswazi kabisa atakana kuyanywa maziwa ata yakiwa mdomoni!! ππAhaaa haaa haaa
Naomba MAJIBU ya maswali yafuatayo:
1. Hiyo ni sehemu au kijiji au kitongoji au kata au tarafa au wilaya au mkoa gani?
2. Una uhakika gani kama hiyo video imechukuliwa nchini TANZANIA?
3. Do you know the meaning of the isolated incidences?
Mswazi kabisa atakana kuyanywa maziwa ata yakiwa mdomoni!! ππ
Swali la 3 kwa vile you've admitted it's an isolated incident...mbona ikifika ni kwa Wakenya inakuwa tofauti? Is Turkana not an "isolated incidence"
Mimi mkuu najua vyombo vyenu vya kupasha habari vingekuwa na ubavu wa kuhoji mambo tungeyashuhudia humu! Shukuru Anko kwa vile vimebanwa ππAhaaa haaa haaa
Hizo shule mnazosoma mkiwa na njaa.
Isolated incidence occurs once a while. Now tell me how many times the hunger striked Turkana Kenya?
Mimi mkuu najua vyombo vyenu vya kupasha habari vingekuwa na ubavu wa kuhoji mambo tungeyashuhudia humu! Shukuru Anko kwa vile vimebanwa ππ