kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
Zenye umetaja are the 3 main TV stations in Kenya, Similar to FOX, CNN and MSNBC in the UScha kushangaza wanafatilia sana habari za Kenya kana kwamba wakimbizi...habari wanazotazama ni za NTV, Citizen TV na KTN..sijawahi kuona watu walio kosa akili kama hawa jamaa🙄🙄🙄mwulize mkenya mmoja akutajie TV station moja tu ya bongo...hakuna anayejua wala kuwa na interest na kujua
. Plus k24, Inooro, and other vernacular, ramogi, etc... and other vernucar stations.
After that tunapata habari zote Youtube. Of which sio wengi wetu. Wenye tunacomment JF tuko kama 0.00004%, but we know what we're talking about.