Kenyatta amepunguza power tarriffs to 50% starting 1 Dec 2017 kuvutia wawekezaji.

Dah..... Shida yetu ...dili ya Richmond...Dowans... Symbion....imetuchelewesha sana....[emoji87]
 
Kenyatta amepunguza power tarriffs to 50% starting 1 Dec 2017 kuvutia wawekezaji na wananchi kupunguziwa gharama! Hizi ndiyo stratergies sasa sio sisi tunapatuka tu viwanda vya maandazi na cherehani 4 ni kiwanda

mr mkiki.
Hebu nielimishe. Power tariff to 50 per cent ni nini na inasaidia nini?
 
Unajua nini, Rais Uhuru amesema Watanzania wanaweza kuingia Kenya bila kibali, kufanya kazi, kununua ardhi, kuoa/kuolewa huko na kuishi milele.

Msitupigie kelele hapa kuwa Uhuru ni rais bora Afrika nzima. Hamieni huko kwenye nchi ya maziwa na asali.

Tuacheni sisi majuha tubaki na Tanzania yetu lakini kubinafsisha ardhi, ng'o.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…