Kenyatta amepunguza power tarriffs to 50% starting 1 Dec 2017 kuvutia wawekezaji.

Kenyatta amepunguza power tarriffs to 50% starting 1 Dec 2017 kuvutia wawekezaji.

Akili za kichadema ni shida sana. Unit moja ilikuwa ngapi na sasa inakuwa ngapi. Na ni nani atalipa difference. By the way tz elimu ni bure na soon afya itakuwa wananchi wote nhif
 
Akili za kichadema ni shida sana. Unit moja ilikuwa ngapi na sasa inakuwa ngapi. Na ni nani atalipa difference. By the way tz elimu ni bure na soon afya itakuwa wananchi wote nhif
Eti unit ilikuwa ngapi? Unaelewa tariff inamaanisha nini? Sasa maswala ya elimu ya bure na nhif na power tariff wapi na wapi?
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Unajua nini, Rais Uhuru amesema Watanzania wanaweza kuingia Kenya bila kibali, kufanya kazi, kununua ardhi, kuoa/kuolewa huko na kuishi milele.

Msitupigie kelele hapa kuwa Uhuru ni rais bora Afrika nzima. Hamieni huko kwenye nchi ya maziwa na asali.

Tuacheni sisi majuha tubaki na Tanzania yetu lakini kubinafsisha ardhi, ng'o.
Umeshawahi kujiuliza maswali haya:
1.Kuna ardhi ya kutosha Kenya?
2.Kuna hizo ajira?
3.Sana sana utaishia kuoa na kuolewa,
Kama kuolewa sawa hata leo unaweza kwenda kuolewa.
 
Jamaa anagonga mle mle tena kwa vitendo,
[HASHTAG]#wawekezaji[/HASHTAG] watajisogeza wenyewe kwa ulimbo unaowekwa.
 
Kenyatta amepunguza power tarriffs to 50% starting 1 Dec 2017 kuvutia wawekezaji na wananchi kupunguziwa gharama! Hizi ndiyo stratergies sasa sio sisi tunapatuka tu viwanda vya maandazi na cherehani 4 ni kiwanda

mr mkiki.

Yani chukua kiasi unacholipa sasa kwa matumizi ya umeme halafu uambiwe lipa nusu tu.

Kenyatta ni mjanja mno sijui kwakua alisomea mambo ya biashara

Kenyatta ana akiri nyingi mno anagalau kikwete ndo alikua anamuweza
Alichokisema Uhuru Kenyatta ni kuwa atapunguza gharama za umeme kuanzia saa 8 usiku hadi saa 11 alfajiri. Sijui wenzangu hiyo mliitafsiri vipi hadi mnashangilia. Hiyo kwangu haina tofauti na mtu kuweka promotion ya mauzo kwakusema watu 5 wa awali ndo watanufaika wakati alijua watu zaidi ya milioni wangependa kufurahia promotion hiyo.
 
Eti unit ilikuwa ngapi? Unaelewa tariff inamaanisha nini? Sasa maswala ya elimu ya bure na nhif na power tariff wapi na wapi?
Yani hujui kuwa power unalipiwa interms of unit? Kama yeye napunguza unit which is indirect cost sisi tuna deal na direct cost elimu. Yani nyie chadema ni weupe sana kichwani
 
Yani hujui kuwa power unalipiwa interms of unit? Kama yeye napunguza unit which is indirect cost sisi tuna deal na direct cost elimu. Yani nyie chadema ni weupe sana kichwani
Unit cost ni moja tu ya cost zinazochangia overall cost ya tariff zikiwa pamoja na cost ya ushuru na pia other operational costs. Tarrif kupungua haimaanishi lazima cost per unit iwe imepungua. Umeelewa point yangu? Afu mi ni mkenya sielewi unaamanisha nini ukiniita mtu wa chadema.
 
Cost zote zina cost centre na mwishoni zinakuwa assigned kwenye cost per unit upo? Au unasomaga vitabu kinyumenyume nn
 
Kenyatta amepunguza power tarriffs to 50% starting 1 Dec 2017 kuvutia wawekezaji na wananchi kupunguziwa gharama! Hizi ndiyo stratergies sasa sio sisi tunapatuka tu viwanda vya maandazi na cherehani 4 ni kiwanda

mr mkiki.

aksante kaka kwa taarifa. lkn kabla hatujaanza kujadili tunaomba chanzo kuaminika. hii itatusaidia kujiongeza.
 
Back
Top Bottom