eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Sio mtazamo; ila ni reality. Sijaandika nilichoandika kwa kuwa sijui upande huo ukoje (ninafahamu hadi Kibera, Area 3, Buruburu na Baba Dogo). I can guarantee you this fact: Mkenya yeyote anaeitamani Tanzania ni kwa kuwa kuna opportunities za yeye kupata utajiri huku kuliko kwao (na wanamshukuru Magufuli kwa fyongo zake maana zinawarahisisha kupata utajiri) but NEVER kwa kuwa wangetamani watawaliwe na mtu sampuli ya Magufuli.
Of course si kila Mkenya ni smart; they have their own fare share of imbeciles ambao wanaweza kuwa wanatamani ulichokiashiria.
Bro the way you value and respect kenyans. So you think kenya is smart. ahaa haa haiko kama unavyoifikiria. ndiyo maana nikatilia shaka exposure yako. Nakusihi, nenda japo Botswana, Namibia na kidogo angola uone watu wengine wanavyoishi. Itasaidia kuweka mtazamo vizuri.
Tembelea, Windhoek, Gaborone, Luanda japo uone nje ya Dar na Kampala na East Afrika kwa ujumla mambo yakoje.