mzalendoalltz
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 828
- 709
Huwa unashinda online ukitafuta negative news about Ke!!!
Sometimes post positive tukuone serious.
Wanalipwa pesa ngapNipo sahihi kusema manesi wa Kenya wanalipwa vyema kuliko madaktari wa TZ?
Watakuja watanganyika wasifia kila kitu Cha Kenya hapa napo watasifia sana na kumpongeza UK.
zile changamoto alizopata JK kutoka kwa wafanyakazi hasa madaktari na walimu Chuma hakiwezi kuzimudu kabisa ndio maana kinajihami zisitokee. Muda mwingine JK anapomuita Chuma huku anacheka huwa naona kama anamkejeli kiaina
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hizo pesa umeziweka katika shs ya madafu (bongo) kabla ya makato basi salary ya bongo iko juu ya hiyo ya Kenya kwa kada tajwa.tuusan nurses huku wa Diploma analipwa around 50660 housing and nurse allowance included ilhali wa Degree ni 86000.
Starting salary ya daktari toka shule ni 119000. Itakuwa vyema ukiweka ya TZ pia.
That's kshs. Na bado mijitu ina~demand kuongezewa ni kama hela zinachimbwaKama hizo pesa umeziweka katika shs ya madafu (bongo) kabla ya makato basi salary ya bongo iko juu ya hiyo ya Kenya kwa kada tajwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah nimeona, nilikosea kuhesabu hizo sufuri. Mbona wanalipwa pesa nyingi sana. Yaani hiyo ya manesi ilibaki kidogo iwe mara mbili ya wanayolipwa manesi wa huku. Halafu wanagoma, shenzi zao. Ndio maana aliwatishia kipindi kile kwa kutaka kuleta madaktari wa Bongo, wanataka mishahara ya anasa.That's kshs. Na bado mijitu ina~demand kuongezewa ni kama hela zinachimbwa
Inaweza kuwa vizuri hao was huko bongo wakija maana naona hawa wa hapa wanafanya kazi ili kupata pesa tu na sio kuwasaidia wakenya. Wafunzwe lesson kwa kufutwa kazi wengine waajiriwe. Hawana utuYeah nimeona, nilikosea kuhesabu hizo sufuri. Mbona wanalipwa pesa nyingi sana. Yaani hiyo ya manesi ilibaki kidogo iwe mara mbili ya wanayolipwa manesi wa huku. Halafu wanagoma, shenzi zao. Ndio maana aliwatishia kipindi kile kwa kutaka kuleta madaktari wa Bongo, wanataka mishahara ya anasa.
Bongo tumeshakubaliana kulipwa hicho hicho ila tunamuomba mheshimiwa Chuma atoe nyongeza kidogo na atupandishe madaraja kwa wakati
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi kwa sababu itamshusha sana kisiasa, hata Ile ishu ya kuwaleta wabongo kipindi kile ilikua danganya toto ya kuwaamsha ili wasimpande sana kichwani.Inaweza kuwa vizuri hao was huko bongo wakija maana naona hawa wa hapa wanafanya kazi ili kupata pesa tu na sio kuwasaidia wakenya. Wafunzwe lesson kwa kufutwa kazi wengine waajiriwe. Hawana utu