Kenyatta asema hakuna fedha za kuwaongezea wafanyakazi mishahara

Kenyatta asema hakuna fedha za kuwaongezea wafanyakazi mishahara

Huwa unashinda online ukitafuta negative news about Ke!!!
Sometimes post positive tukuone serious.

Hahaha tafuta news za MK254 uone kama kuna news zozote zinazosifia TZ, tulia na vumilia ila uzuri hajadanganya ni kweli.
Ila tutamshauri alete mazuri pia na nyinyi mkumbuke yale mazuri ya Tz
 
Watakuja watanganyika wasifia kila kitu Cha Kenya hapa napo watasifia sana na kumpongeza UK.

At least UK amesema ukweli kuwa serikali haina pesa za kutosha. Hebu tulinganishe na jiwe letu, jiwe ametoa sababu ngapi za kutopandisha mishahara?
1. Uhakiki wa wafanyakazi hewa
2. Uhakiki wa uhakiki wa wafanyakazi hewa
3. Uhakiki wa vyeti

N.k, n.k, sasa lipi ni la kweli?
 
tuusan nurses huku wa Diploma analipwa around 50660 housing and nurse allowance included ilhali wa Degree ni 86000.
Starting salary ya daktari toka shule ni 119000. Itakuwa vyema ukiweka ya TZ pia.
 
zile changamoto alizopata JK kutoka kwa wafanyakazi hasa madaktari na walimu Chuma hakiwezi kuzimudu kabisa ndio maana kinajihami zisitokee. Muda mwingine JK anapomuita Chuma huku anacheka huwa naona kama anamkejeli kiaina

Sent using Jamii Forums mobile app

Jk hamkejeli chuma,anawakejeli wafanyakazi waliokuwa wakideka na kuchimba bit za kitoto.

Maana aliisha waambia,mimi ni mpole ila anayekuja ni mkali sana.watu wakajua bro anatania[emoji16][emoji16].
 
tuusan nurses huku wa Diploma analipwa around 50660 housing and nurse allowance included ilhali wa Degree ni 86000.
Starting salary ya daktari toka shule ni 119000. Itakuwa vyema ukiweka ya TZ pia.
Kama hizo pesa umeziweka katika shs ya madafu (bongo) kabla ya makato basi salary ya bongo iko juu ya hiyo ya Kenya kwa kada tajwa.

Nilikosea kumbe ni elfu 86Kshs, aisee wanalipwa vizuri sana. Hiyo ni almost twice ya wanacholipwa huku. Sasa kwanini wanagoma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
That's kshs. Na bado mijitu ina~demand kuongezewa ni kama hela zinachimbwa
Yeah nimeona, nilikosea kuhesabu hizo sufuri. Mbona wanalipwa pesa nyingi sana. Yaani hiyo ya manesi ilibaki kidogo iwe mara mbili ya wanayolipwa manesi wa huku. Halafu wanagoma, shenzi zao. Ndio maana aliwatishia kipindi kile kwa kutaka kuleta madaktari wa Bongo, wanataka mishahara ya anasa.

Bongo tumeshakubaliana kulipwa hicho hicho ila tunamuomba mheshimiwa Chuma atoe nyongeza kidogo na atupandishe madaraja kwa wakati

Inaweza kuwa vizuri hao was huko bongo wakija maana naona hawa wa hapa wanafanya kazi ili kupata pesa tu na sio kuwasaidia wakenya. Wafunzwe lesson kwa kufutwa kazi wengine waajiriwe. Hawana utu
 
Inaweza kuwa vizuri hao was huko bongo wakija maana naona hawa wa hapa wanafanya kazi ili kupata pesa tu na sio kuwasaidia wakenya. Wafunzwe lesson kwa kufutwa kazi wengine waajiriwe. Hawana utu
Hawezi kwa sababu itamshusha sana kisiasa, hata Ile ishu ya kuwaleta wabongo kipindi kile ilikua danganya toto ya kuwaamsha ili wasimpande sana kichwani.

Yaani kuna watu wanadhani viongozi wamekalia hela huko ikulu na wanawabania. Nchi zetu bado ni maskini, bajeti tu inategemea misaada sasa ukiongeza mishahara kwa kiasi kikubwa pesa ya maendeleo itatoka wapi?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom