Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kuota, labda mpige yale mrimba mnyoyapiga kila sikuna sisi tutafanya sasa
Aisee leo kenyatta ametinga ndani ya party moja tuliyokuwa nayo hapa jijini...yaani imekuwa ni full kujimwaya mwaya mazee[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji95] [emoji95] [emoji92] View attachment 653235View attachment 653236View attachment 653237View attachment 653238
Serekali ya Kitaifa kwani Kenya nayo ina Kanda ya Ziwa au Wazilankende yeye ni Rais wa Taifa la Kenya na hapo hao watoto hata hawajulikani kama ni wasukuma au wanatoka chato ni Wakenya.Rais Uhuru Kenyatta aanze na kujenga serikali ya kitaifa na kupambana na ufisadi sio kuwa celebrity President
Juzi alikuwa pale Embumbul, kwetu Kajiado County akikagua mradi na pia alifungua rasmi utumizi wa Inland container depot pale Embakasi, Nairobi County. Kabla ya hiyo alikuwa kule Kwale County karibia siku mbili kwenye kikao na magavana hadi wakakubaliana atakayewaongoza kama mwenyekiti wa Council of Governors. Ingekuwa ni jamaa flani hapo tungekuwa bado kwenye siasa za peni mbili na vitendawili gushi. Si ni desemba? Uhuru zake si kukenua pekee yake tu kama JK, acha aji'enjoy' bana.Hizi ndio kazi Kenyata anazozipenda, kama JK vile.
Hii kazi ya Urais ni ngumu sana yani Hauna hata private time kila siku kila mahali umezingirwa na macho yote IPO kwako isipokuwa chumba chako cha kulala. Magu pia anayapitia haya bila shaka.Duh, Kenyatta HAPA HEPA TUU. Jamaa lazima atakuwa bored sana, inaoneka hakuna cha maana cha kufanya. Mara maharusini, mara party za watoto. Middle income ina goma au?
Marais wote wana private life, tatizo linakuwa kwa publicist wao wanakuwa very busy kuonyesha kila kitu hata ambacho hakitakiwi kuonekana kwa public. Sasa picha kama hizi zinatupa idea kama Kenyatta yuko serious kujenga national unity au la.Hii kazi ya Urais ni ngumu sana yani Hauna hata private time kila siku kila mahali umezingirwa na macho yote IPO kwako isipokuwa chumba chako cha kulala. Magu pia anayapitia haya bila shaka.