Kenyatta atinga party la krismas!

nampenda alivyo simple mr president
 
Rais Uhuru Kenyatta aanze na kujenga serikali ya kitaifa na kupambana na ufisadi sio kuwa celebrity President
Serekali ya Kitaifa kwani Kenya nayo ina Kanda ya Ziwa au Wazilankende yeye ni Rais wa Taifa la Kenya na hapo hao watoto hata hawajulikani kama ni wasukuma au wanatoka chato ni Wakenya.

Ufisadi upi Kenya mwaka huu unazidi ya Bilioni 300 kupitia uani BOT
 
Ganja man.
Wale jamaa wenye combat na bunduki wapo wapi?
 
Raisi anatakuwa kuwa MTU anayeleta natumaini kwa watu wake.
 
Mngemchagua Raila mngejuta! Copy &paste hahahaha
 
Duh, Kenyatta HAPA HEPA TUU. Jamaa lazima atakuwa bored sana, inaoneka hakuna cha maana cha kufanya. Mara maharusini, mara party za watoto. Middle income ina goma au?
 
Hizi ndio kazi Kenyata anazozipenda, kama JK vile.
Juzi alikuwa pale Embumbul, kwetu Kajiado County akikagua mradi na pia alifungua rasmi utumizi wa Inland container depot pale Embakasi, Nairobi County. Kabla ya hiyo alikuwa kule Kwale County karibia siku mbili kwenye kikao na magavana hadi wakakubaliana atakayewaongoza kama mwenyekiti wa Council of Governors. Ingekuwa ni jamaa flani hapo tungekuwa bado kwenye siasa za peni mbili na vitendawili gushi. Si ni desemba? Uhuru zake si kukenua pekee yake tu kama JK, acha aji'enjoy' bana.
 
Duh, Kenyatta HAPA HEPA TUU. Jamaa lazima atakuwa bored sana, inaoneka hakuna cha maana cha kufanya. Mara maharusini, mara party za watoto. Middle income ina goma au?
Hii kazi ya Urais ni ngumu sana yani Hauna hata private time kila siku kila mahali umezingirwa na macho yote IPO kwako isipokuwa chumba chako cha kulala. Magu pia anayapitia haya bila shaka.
 
Hii kazi ya Urais ni ngumu sana yani Hauna hata private time kila siku kila mahali umezingirwa na macho yote IPO kwako isipokuwa chumba chako cha kulala. Magu pia anayapitia haya bila shaka.
Marais wote wana private life, tatizo linakuwa kwa publicist wao wanakuwa very busy kuonyesha kila kitu hata ambacho hakitakiwi kuonekana kwa public. Sasa picha kama hizi zinatupa idea kama Kenyatta yuko serious kujenga national unity au la.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…