Kenyatta family land is enough to settle 20 million people

Very many ignorant people around here. KANU was not disolved. It participated in last years elections and won some few seats here and there. I think Tz has many opposition politicians who were members of CCM. Atleast Kenya ex-KANU wataendelea kuisha kwenye siasa, hawana nguvu zozote kwa pamoja.
 
New member eeh? Utawaelimisha hadi uchoke! Umeona wanavyozingua na ekari half million(eti hilo ni shamba la Kenyatta family) yao ambayo inatosha watu 20million humo ndani? Kwa jina lingine hili jukwaa siku hizi linaitwa Tanzanian Gutter Press. Welcome.
 
Rulling class ni ileile tu hamna kilichobadilika zaidi ya majina ya vyama tuu
 
CCM ilikuwepo ipo na itakuwepo hawahitaji kufanya mazingaombwe kama ya huko
 
Hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mtu mpumbavu kama mtz Ardhi yote wamempa rais wao wapange halafu wanatetea ujinga. Kweli upumbavu hata ukitwangwa kwa kinu haumtoki mtu. Bora kenya maana hata akipata kapuloti inakuwa ni yake anakuwa hajapanga. Ndio maana Magu anaamua atakavyo na anawatia wasi hadi kila mtu anajiharia tu bila kuumwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Man you are so dumb, you don't even know what you are writing, Brainless Kunyan.
 
halafu ukiwakuta hawa nyang'au wanavyojigamba kwenye forums za kigeni huku wakitukandia sisi, eti middle income country.. middle income wakati mnaishi kama wapangaji ndani ya nchi yenu.. mnagombania kiardhi kidogo huku nyingine ikimilikwa na elite
 

Ahaaa haaa haaa
Acha ulongo wewe bana mdogo. Kila mtu Kenya anamiliki kipande cha ARDHI!!!?? Ameitoa wapi? Amenunua kiasi GANI? Maana hata hapa Tanzania SIYO KILA MTU anamiliki ARDHI. Lkn tofauti ni KUWA KILA MTU ana haki sawa ya kumiliki ARDHI. Sheria YETU ya ARDHI inatamka wazi kabisa kuhusu HAKI SAWA ya KUPATA NA KUMILIKI ARDHI KWA MAKUNDI YOOTE KATIKA JAMII, KUANZIA WANAWAKE, VIJANA, WAZEE, WALEMAVU, N.K.
Land Act Nr. 4 of 1999 is one of the best land Acts coz it addresses all key issues regarding the land. It's a full HD piece of legislation.
 

Ahaaa haaa haaa
Embu sikiliza bana mdogo.
Kama issue huzijui bora ukae kimya. Kuliko kujifanya wajua kumbe unaungua na jua.
Dude if you don't decipher the following, you better seek help from the experts.
1. GRAND TITLE
2. Granted title
3. Derivative right to land
4. Land tenure (system of holding land)
5. Freehold system
6. Lease hold system
7. Land adjudication
8. Land redistribution
9. Land policy reform
10. Land as a society sovereignty
11. Equitable right to land
 

Please, come back when you're a little bit knowledgeable. I don't argue with fools.
 
Please, come back when you're a little bit knowledgeable. I don't argue with fools.

Ahaaaa haaaaa
Povu siku zote halijengi, ukiona nimekuletea too technical issues which are difficult to follow, it is better you seek assistance. It's not bad to say "I don't decipher what you put forward, could you please illucidate your point??". Huo ni uungwana, hamna mtu atakaye kushangaa, maana hakuna mtu anayejua kila kitu.
 
huu ni ujinga mtupu... mbona watu wana akili za kimaskini hivi....

70% of Kenya iko north of Kenya ambako hakuna watu.... 80% ya wakenya wanaishi ndani ya 30% of Land mass.. ndani ya hii 30% hao akina Uhuru ndo wanamiliki hayo mashamba yao ya 0.5m hapo hapo ndo kuna mbuga za wanyama kama tsavo east and west.... huko kwdngine hakuna mtu anataka kuishi.... kama akina UAE na Israel wanaweza kyishi kwa true desert... kwanini wakenya wanashindwa kuishi kwa semi-desert environment....


Badala yake mnaanza kuotea ardhi ya kina kenyatta eti mpewe bure... Hebu tupige hesabu...


500, 000 acres of Kenyatta Land is 2024 square kilometers....... Kenya's Land Mass is 580,367 square km...

That would make the (2024/580367)*100 = 0.3% of Kenya's land mass .... Ok, I'll admit its pretty significant for one family to own 0.3% of Kenya but still ... 0.3 is not even a quater of 1% ..... If they are saying this 0.3% of Kenya can fit 20 million Kenyans... Then why cant they fit in the 99.07% that is left?

Infact, going by their assumtion that 0.3% of Kenya can fit 20 million citizens... that should also mean than a total of 1% of Kenya (roughly 1.6million acres) can fit 50 million citizens and every family in Kenya can have land... Leaving 99% of the land for other stuff....... So why isnt it the case? ... After failing to do this we then start to look for scapegoats and blame those who took advantage of the system .... Ni kawaida maskini kumlaumu tajiri kwa shida zake but please stop the obsession with this 0.3% when there is 99% just staring at us...
 
Mbona ume panic Sana mkuu[emoji23] We ni mtoto wa Kenyatta? Au ndio Kenyatta mwenyewe?? Ila wakikuyu mnawanyonya sana makabila mengine hapo Kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Please, come back when you're a little bit knowledgeable. I don't argue with fools.
hawa jamaa sijui wanafikiri Sheria ya ardhi Kenya inakaaje.. mana wengi wao waongea wako ignorant kabisaaa.
Eti jamaa anajisifia Tz kwa sheria kila mtu ana haki ya kumiliki ardhi .... Kwani huku Kenya hakuna hio sheria!? WTF!
 
Usije ukawa unamzungumzia yule bibie Akotheee. Msanii wa Kenya. Kwa yule bibie mzungu alimchemka, mwanamke kapagawa.
Wazungu wenye kupenda maendeleo wengi walikuwa wanaoa/kuolewa na Black African.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usije ukawa unamzungumzia yule bibie Akotheee. Msanii wa Kenya. Kwa yule bibie mzungu alimchemka, mwanamke kapagawa.
Wazungu wenye kupenda maendeleo wengi walikuwa wanaoa/kuolewa na Black African.


Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema wanawake wa Kiafrika ni wasikivu, hafanyi kitu mpaka akuombe ruhusa. Ukishamjengea nyumba kwao hawana tamaa ya kuachana ili apate nusu ya mali yako.

Hasa wale vikongwe waliofiwa na wake na wana watoto wakubwa. Wanahakikisha mke ana nyumba yake na pesa zake bank kabla hawajakufa ili watoto wake wasimsumbue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…