Mogumo
Member
- Sep 17, 2015
- 14
- 12
Very many ignorant people around here. KANU was not disolved. It participated in last years elections and won some few seats here and there. I think Tz has many opposition politicians who were members of CCM. Atleast Kenya ex-KANU wataendelea kuisha kwenye siasa, hawana nguvu zozote kwa pamoja.😎Mngekua mnajielewa msingekua mnakula kisamvu kilekile kwenye sahani tofauti hao viongozi wenu wenyewe washawaona mazuzu watu wanaandamana wanachezea vichapo halafu wanakuja kutulizwa na vitu vya kijinga........kuna vichaa wanafikiria waliitoa KANU wakati watu walicheza tu chenga za roho na mwili😎