Kenyatta family land is enough to settle 20 million people

Umesahau kusema kwamba hio 0.3% ya KE wanayomiliki hao mabwana wakubwa ni the so called 'prime land' ndio maana wameshika uchumi wa nchi.
 
Umesahau kusema kwamba hio 0.3% ya KE wanayomiliki hao mabwana wakubwa ni the so called 'prime land' ndio maana wameshika uchumi wa nchi.

Teh teh teh tihiii
Kenyatta family and Lord Dalamare.
Ahaaa haaa haaa
 
Guys any updates regarding the issue of land adjudication.
Zunguka kote lkn kwa hili.
Hili ni muhimu.
 
Halafu waingereza wamewashika akili hawa nyang'au kisawasawa. Kila siku wanawapa vijidakika vichache BBC World ili wajione wao ni wa kipekee. Ha ha ha, wanaliwa vizuri.
 
Halafu waingereza wamewashika akili hawa nyang'au kisawasawa. Kila siku wanawapa vijidakika vichache BBC World ili wajione wao ni wa kipekee. Ha ha ha, wanaliwa vizuri.

Wanajiita waingereza wa Afrika wa Mashariki.
 
Had you been in President uhuru's shoes, would you have done that? What ever wealth he has inherited also belongs to the family/clan and he as an individual can not do that.
 
Halafu bado wanawake wanakinzwa ktk kumiliki ardhi hili tatzo lingine nalo.
 
We kweli fala.
Hao uwezo wao wa kujitaftia ndipo ulipoishia.
Au ww unataka kumfananisha engineer kipato chake na mkulima wa small scale ?
Hao wakipambana wanaweza kwenda kumiliki nyumba kuliko oysterbays.
 
Kwahyo kila anayeishi oysterbay fisadi?
Hakuna aliyezuiliwa kuendelea.
Hata hao wakiamu kupambana na kusaka mbumba wataendelea pia.
Tatizo la kenya kuna bias kikabila hadi ktk maendeleo.
Morogoro kuna wakulima na. Wanaishi vema.
Tabora Ipuli kuna wakulima kama hao na. Wana majumba.
Jibu Swali nilivyokuuliza...............wanaoishi kwa hizo nyumba nilizoposti wana haki sawa na Mabwenyenye wa Oyster Bay?
 
Had you been in President uhuru's shoes, would you have done that? What ever wealth he has inherited also belongs to the family/clan and he as an individual can not do that.

Bro
Content analysis. No where in the article mentioned Uhuru as a natural person own such a big tract of land, it's the family. Even the title of the article says that. Coz everyone may know that Uhuru was not yet born when his parents were looting public land.
 
Hao wana mashamba makubwa usione wana nyumba mbovu ndiyo wanalisha hadi kenya
 
Any updates regarding land redistribution and adjudication in Kenya.
 
Safi sana..mkuu umeeleza kinaga ubaga
 
Bwahahaaa!!punguza jazba..endelea ku lease ardhi kw ccm tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bwahahaaa!!

Aha haaa
Any recent development regarding land redistribution and adjudication issue.
The wananchi of Kenya want to hear the news like ... the Dalamare and kenyatta family have surrendered to the government 21,000 hectares to house 1 million kibera households to curb the slum problem.
 
Halafu bado wanawake wanakinzwa ktk kumiliki ardhi hili tatzo lingine nalo.
Hilo la wanawake umelitoa wapi? Labda Kwa makabila la kisomali huko wajir ,mandara na garisa na hilo ni Kwa sababu ya itikadi pamoja na Mila zao Ila sio Kwa wakenya wote . Wanawake wakenya wameruhusiwa kurithi viwanja kutoka Kwa Baba zao na Wana uwezo wa kugawana Mali ya familia pamoja na Mtoto wa kiume Kwa 50% Kwa hivyo leta hoja zenye mantiki na sio habari za vijiweni.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…