Kenyatta family land is enough to settle 20 million people

Kenyatta family land is enough to settle 20 million people

hawa jamaa sijui wanafikiri Sheria ya ardhi Kenya inakaaje.. mana wengi wao waongea wako ignorant kabisaaa.
Eti jamaa anajisifia Tz kwa sheria kila mtu ana haki ya kumiliki ardhi .... Kwani huku Kenya hakuna hio sheria!? WTF!
Ameona hiyo Land Act Nr. 4 of 1999 kwa mara ya kwanza sasa anajiona Albert Einstein mwenyewe. Yaani crappy education system ni kitu mbaya Sana, vitu za kawaida kwa nchi zingine mkizifanya mnajiona magwiji. Halafu the worst part of it hata hajaona ujinga wake hadi sahii.
 
Jibu Swali nilivyokuuliza...............wanaoishi kwa hizo nyumba nilizoposti wana haki sawa na Mabwenyenye wa Oyster Bay?
Ngoja nimsaidie kijana.

Kuridhika inategemea mazungira uliyopo unayakubalije na unalidhikaje? Nayo, iyo ndio HAKI kwako.
Mfano mdogo huyo anaekaa OSTERBAY na anaeishi New York, London, Paris,Berlin, Tokyo, Rome. Unafikiri nani analizika na nani ana HAKI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa Watanzania hapa wanamiliki ekari ngapi ya misitu ya miti?
ahead_of_201718_national_budget_tanzania_current_poverty_rate_positions_at_333_percent_h4317_20eb1.jpg

Ahaaa haaa haaa

Lkn hapo alipo ni kwake. HAMNA mtu wa kum'bugudhi. Ona amefuga na majogoo na mitetea. Huku walio wengi ni masikini wa kipato na si rasilimali.
I love Tanzania.
 
Ameona hiyo Land Act Nr. 4 of 1999 kwa mara ya kwanza sasa anajiona Albert Einstein mwenyewe. Yaani crappy education system ni kitu mbaya Sana, vitu za kawaida kwa nchi zingine mkizifanya mnajiona magwiji. Halafu the worst part of it hata hajaona ujinga wake hadi sahii.

Ahaaa haaa haaa
Usilete ngonjela, lete hiyo sheria ya ARDHI ya Kenya inasemaje. Pengine hata sheria ya ARDHI hujui KAMA ipo, halafu unaanza maneno mengi.
 
Ahaaa haaa haaa

Lkn hapo alipo ni kwake. HAMNA mtu wa kum'bugudhi. Ona amefuga na majogoo na mitetea. Huku walio wengi ni masikini wa kipato na si rasilimali.
I love Tanzania.

Hivi unaweza kuwa na rasilmali same na akina Lowasa na Bakhresa na ukae mwenye nyumba kama hizo?

Kwa hivo Wakenya hawaishi kwao? You guys, you're either a dumb nation or the anti-Kenya propaganda machine in your country is top grade.
 
Hii ni hatari na Chadema huwa wanapenda sana mambo kama haya.
 
Hatujaelewana vizuri hapo. Sijaongelea kuwa na ARDHI KAMA kina Lowassa na wengine. Naongelea ya KUWA kila mtu anayetaka kumiliki ARDHI kwa uwezo wake anaweza. Lkn siyo kwa Kenya ambako if you are a LANDLESS you probably dying without owning the land. Because all of your productive/arable land have been expropriated by the mighty Kenyatta family and the like.
 
Takwimu za kijinga hizi eti Kenyatta Family wana ekari nusu milioni? Leta evidence kwanza. Yaani unatoa taarifa kwenye site za kijinga za kikenya alafu unazipaste humu bila kuhakisha uhalisia wa kinachoongelewa? Hata ule mkoa wa zamani wa Nyanza na ukubwa wake hauna watu 20million ndani yake. Sasa watu 20million ndio mtawapack kama kondoo? Danganya mambumbumbu wenzako.
Jomo Kenyatta ndo mzizi wa Rushwa Kenya, nyinyi mnajidai hamjui ili kutufurahisha sisi na kushinda arguments. Unlike George Washington ambae alitaka kufananishwa nae mara nyingi Kenyatta never bought the land his generation is living on today. With a corrupt father of the nation you have a long way to go mpaka muimalize rushwa.
 
Acha blah blah nyingi, ni chaguo lako kuamini ama kutoamini taarifa hii ambayo haina msingi wa kujisimamia. Hasira ni za nini? Mimi nimetoa maoni yangu tu.
 
Ameona hiyo Land Act Nr. 4 of 1999 kwa mara ya kwanza sasa anajiona Albert Einstein mwenyewe. Yaani crappy education system ni kitu mbaya Sana, vitu za kawaida kwa nchi zingine mkizifanya mnajiona magwiji. Halafu the worst part of it hata hajaona ujinga wake hadi sahii.
Hawa jamaa bana. Sometimes kama mtu hujui kitu afadhali uulize kwanza ama unyamaze tu.... usijifanye wajua ya jirani yako kuliko jirani mwenyewe, Kuna maeneo town ndogo ndogo unapata 1 acre at 400k by last year, hata uwe mtu maskini, unaweza afford kununua 1/8 of an acre kwa hizi town ndogo ndogo at between 60-80k enough space to build a house and have a backyard...
 
Brother I participated in several research regarding land policy and sustainable development. In sub Sahara Africa, Kenya is one of the countries which a common people cannot afford to purchase a piece of land due to high prices. The prices are high because the rich people and elites own big tract of land. All land is grabbed.
 
Hii ni hatari na Chadema huwa wanapenda sana mambo kama haya.

Wale si ni wabinafsi? Tunawajua SANA na HIYO Development Manifesto (DEMA) yao. Kazi kunyakua mali tu.
 
Malema na wengine woote wanaiona Kenya NCHI ya ajabu kwa hili la ARDHI.

CC: ichoboy01
 
Unless you belong to this mighty family, otherwise it's better to remain silence coz the article refers this family and the like.
 
Wakikuyu wanathamini sana mali mno kupita maelezo. Kuna mama mmoja wa Kikuyu aliolewa na British aristocracy miaka mingi May be in 40’s. Yule mama alihamia Uingereza waliishi huko mashambani kwenye family estates. Yule mama alihakikisha shati la mzee limepigwa pasi, kahawa iko sawa kwa muda sawa. Maua fresh yapo living room na dining. kuna matunda fresh.

Yule mzungu aliwaambia wenzake. Hawana usumbufu kama wake wa kizungu. Hawa ukiwanunulia one acre land Kenya na kuwajengea nyumbani na kumruhusu aende mara moja kwa mwaka nyumbani kwake hawana shida.

Sasa mama kila mwaka alifanya cocktail party na alihakikisha nieces wake wapo kutoka Kenya kukutana na rich British bachelors.

The moral of the story is???????
 
huu ni ujinga mtupu... mbona watu wana akili za kimaskini hivi....

70% of Kenya iko north of Kenya ambako hakuna watu.... 80% ya wakenya wanaishi ndani ya 30% of Land mass.. ndani ya hii 30% hao akina Uhuru ndo wanamiliki hayo mashamba yao ya 0.5m hapo hapo ndo kuna mbuga za wanyama kama tsavo east and west.... huko kwdngine hakuna mtu anataka kuishi.... kama akina UAE na Israel wanaweza kyishi kwa true desert... kwanini wakenya wanashindwa kuishi kwa semi-desert environment....

Badala yake mnaanza kuotea ardhi ya kina kenyatta eti mpewe bure... Hebu tupige hesabu...

500, 000 acres of Kenyatta Land is 2024 square kilometers....... Kenya's Land Mass is 580,367 square km...

That would make the (2024/580367)*100 = 0.3% of Kenya's land mass .... Ok, I'll admit its pretty significant for one family to own 0.3% of Kenya but still ... 0.3 is not even a quater of 1% ..... If they are saying this 0.3% of Kenya can fit 20 million Kenyans... Then why cant they fit in the 99.07% that is left?

Infact, going by their assumtion that 0.3% of Kenya can fit 20 million citizens... that should also mean than a total of 1% of Kenya (roughly 1.6million acres) can fit 50 million citizens and every family in Kenya can have land... Leaving 99% of the land for other stuff....... So why isnt it the case? ... After failing to do this we then start to look for scapegoats and blame those who took advantage of the system .... Ni kawaida maskini kumlaumu tajiri kwa shida zake but please stop the obsession with this 0.3% when there is 99% just staring at us...

Very well elaborated
 
Back
Top Bottom