Kibuzimzinga
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 209
- 247
Hahaha.... Pole yako!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaishi dunia gani wewe?.ubabe upo lakini si kama unavyofikiri
si rahisi kwa dunia ya sasa kuivamia nchi flani na kuchukua maliasili zake
kinachofanyika, anaitwa mkuu wa nchi anakua compromised
halafu mali inachukuliwa kwa kutumia mikataba mibovu ambayo itapitishwa na bunge kwa influence ya raisi.
Soma tena mkuu.Unaishi dunia gani wewe?.
Marekani akuvamie wewe mh 😳!.
Libya, Afghanistan, Sudan, DRC nk unadhani ni nani huyo?.
Acha mawazo mgando ya advanced country kuharibu assets zake kukuvamia hoehae kama wewe!.