pinno
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 1,213
- 1,229
Awali niliona ratiba ya Bobcolly more aliekuwa CEO wa Safaricom, the most profitable company in East Africa, ambapo ratiba ilionesha kuwa Rais wa jamhuri ya Kenya angehudhuria na kutoa neno kidogo hapo
But cha kushangaza, nakutana na taarifa kuwa yupo njian kwenda Chato kwa Magu tena kwa safari binafsi ,mwaliko wa Magu
Is Magufuli personal meeting with Kennyatta importnt than Bob Funeral? au kuna kitu nakosa