"Kenyatta,kama umeibiwa si uibe"

shikamoo, hahahaha
 
Kwa hiyo anakiri kuwa yeye kaiba?

Hahahaa siasa za Afrika bana!!
Siasa ndivyo ilivyo namuunga mkono sana Uhuru bora mtu umwambie ukweli....

Hata kama angekuwa Raila yupo madarakani angefanya wizi tu wa kura ili aendelee kuwa madarakani.
 
Siasa ndivyo ilivyo namuunga mkono sana Uhuru bora mtu umwambie ukweli....

Hata kama angekuwa Raila yupo madarakani angefanya wizi tu wa kura ili aendelee kuwa madarakani.

Umesema kweli kabisa.

Wote ni wezi tu.

Kwa hiyo inawezekana kabisa kuwa kiuhalali Raila alishinda ila kwa vile hayupo madarakani na hivyo kukosa ushawishi wenye uzito, basi akazidiwa maarifa na team Uhuru.

Hata CHADEMA si ajabu huwa wanaibiwa sana. Ila, hata wao wangekuwa ndo wapo madarakani nao wangeiba tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…