Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,411
Amemjibu sahihi kabisa.Kwanza Raila amesababisha watu kufa jana hafai kabisa kuwa kiongozi kama rafiki yake tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara ni IEBC ,mara ni KDF na mara nyingine ni wale ballot printers wanashirikiana na Jubilee kufanya rigging.In short ,Raila hatakosa visingizio hata umpe nini .Raila kashindwa kihalali tu,Kenyatta karuhusu demokrasia dunia inashuhudia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipofu wewe unayeandikiwa na kusomewaWewe ndio samaki kwa upofu wa uelewa wako!
shikamoo, hahahahaWaTz tuache ushabiki hovyo, kauli hii ilitolewa huku kwetu, maneno tofauti ila maudhui ndiyo haya, tukawaka vibaya mno. Leo kauli ya Uhuru inasababisha umsifu kua kapata exposure?
Mara umefurahi kwakua aliyemshinda ni rafiki wa Magu?
Bongo jua kali mpaka ubongo umetengana na uti wa mgongo.
Shikamooshikamoo, hahahaha
MarahabaShikamoo
Kwa akili yako hapo amekiri ameiba??? BogusKwa hiyo anakiri kuwa yeye kaiba?
Hahahaa siasa za Afrika bana!!
Siasa ndivyo ilivyo namuunga mkono sana Uhuru bora mtu umwambie ukweli....Kwa hiyo anakiri kuwa yeye kaiba?
Hahahaa siasa za Afrika bana!!
Siasa ndivyo ilivyo namuunga mkono sana Uhuru bora mtu umwambie ukweli....
Hata kama angekuwa Raila yupo madarakani angefanya wizi tu wa kura ili aendelee kuwa madarakani.