Kenyatta: Kuna Watu wanalia Trump kuwanyima Fedha. Ile siyo Serikali yenu wala ile siyo Nchi yenu na Nyie siyo Walipakodi wa Marekani hana ulazima!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mh Uhuru Kenyatta amewaonya watu wanaolalamika Trump kukata misaada ya Fedha Kwa Nchi zao

Kenyatta anasema " Ile siyo Serikali yenu wala ile siyo Nchi yenu na Nyie siyo Walipakodi wa Marekani hivyo Trump hana ulazima wa kuwapeni Kitu chochote kile"

Kwako ChoiceVariable ukiwa Mbeya Vijijini πŸ˜€
 
Maneno haya Kipindi Yupo Ukulu Angeyachukia Sana
 
Mpuuzi huyu blodifaken zake. Amefanya nini kuhakikisha kuwa wakenya wanapata matibabu first class kama yanayopatikana USA. Watu wanasikitika kwa sababu serikali zao including serikali yake it was there for looting and not serving Kenyans! Wanasikitika maana watakufa kwa AIDS
 
Mama Samia anaendelea kukunulia kila kiongozi wa hata wa mijini magari ya 400 milioni halafu tunaomba pesa ya dawa!. Mabasi ya chaguzi wakati hakuna sheria ni chaguzi fake
 
Baada ya ilo tamko kamtumia email kumwambia asichukulie serious ilo jambo ni zuga kwa wananchi wake.
 
Mama Samia anaendelea kukunulia kila kiongozi wa hata wa mijini magari ya 400 milioni halafu tunaomba pesa ya dawa!. Mabasi ya chaguzi wakati hakuna sheria ni chaguzi fake
Ngoja aje Mzee Wangu Wasira ,akujibu
 
Kusini mwa jangwa la Sahara dawa itatuingia mpaka akili zitukae sawa
 
Za uso, kavu kavu. Wasimseme anataka kugombea mwakani.
 
Taarifa ndio hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…