johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mh Uhuru Kenyatta amewaonya watu wanaolalamika Trump kukata misaada ya Fedha Kwa Nchi zao
Kenyatta anasema " Ile siyo Serikali yenu wala ile siyo Nchi yenu na Nyie siyo Walipakodi wa Marekani hivyo Trump hana ulazima wa kuwapeni Kitu chochote kile"
Kwako ChoiceVariable ukiwa Mbeya Vijijini 😀