Mbase1970
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 6,054
- 4,604
Tumeshuhudia ukawa wakimuunga mkono Uhuru Kenyatta katika kampeni za uchaguzi huko Kenya na hapa JF wafuasi wakipiga kelele kila kukicha.
Tumeshuhudia pia wapiga zumari wa UKAWA wakimsifu Kenyatta kuwa mpenda demokrasia. Lakini kama kawaida yao pale mtu wao anapopotoka hukaa kimya bila kukemea.
Furaha na sifa walizompatia Uhuru siku chache huko nyuma kama mpenda demokrasia na haki ya mahakama leo wanashindwa kumkemea pale anapotaka kuingilia Uhuru wa mahakama.
Law Society of Kenya imetoa tamko la kukemea jitihada za Uhuru Kenyatta za kukandamiza uhuru wa mahakama. Ndipo ninapojiuliza mbona wapenda demokrasia na uhuru wa mahakama wapo kimya tatizo lipo wapi?
Mara nyingi watu wapenda haki na ukweli hawachagui wakati wa kuitetea kasoro tu watu hao wakiwa wanafiki.
NAJIULIZA ZILE SIFA ZOTE KWA UHURU WAKATI NI WAZI ALICHAKACHUA UCHAGUZI ZILIKUA ZA KINAFIKI AMA?
Naachia wenye kufahamu nia ya UKAWA kuvuka mipaka kukampeni nchi jirani watusaidie.
Ikumbukwe pia hii si mara ya kwanza kwenda mahakamani. Mwaka 2013 Odinga alienda mahakamani na alishindwa na hii ilikua concession speech yake na alionyesha maturity katika siasa na kuheshimu katika na mahakama.
When the Supreme Court ruled AGAINST Raila Odinga in 2013, this is what he said: “It is my hope that the incoming government will have fidelity to our Constitution, and implement it to the letter for the betterment of our people. I wish president-elect Uhuru Kenyatta and Deputy president-elect William Ruto best of luck in this endeavour. I remain confident in the Judiciary despite the Supreme Court not ruling in our favour. My concession was made in the interest of peace and so that the economy will no longer be held hostage by the electoral process. Although we may not agree with some of its findings, and despite all the anomalies we have pointed out, our belief in constitutionalism remains supreme. Casting doubt on the judgement of the Court could lead to higher political and economic uncertainty, and make it more difficult for our country to move forward.