Tudumishe muungano wetu wa Afrika MasharikiNdio hivyo yani, Uhuru Kenyatta anategemewa kutua Chato kwa ziara binafsi na kuonana na JPM.
Hahaha ya kweli hayo?Kaja kumuombea Jaguar msamaha
Chato kuzuri.Ikumbukwe JPM alitua Chato Airport kwa style hii.
Airport ya Chato bado ipo under construction.
Dah 😢😢😢😢 RIP Kibonde, manthari ya Chato ni mazuri lakini sauti ya Kibonde ni nzuri zaidi.Karibu kawekeze Chato it's such an amazing place
Kuna watu watanuna
Nimejaribu kuwaza nje ya boksi tuHahaha ya kweli hayo?
Kaja kumuombea Jaguar msamaha
Utawala wa Mobutu Seseseko ulikuwaje babu ?Hii chato inanikumbusha utawala wa Mobutu kule DRC
Gbadolite kijijini kwa MobutuUtawala wa Mobutu Seseseko ulikuwaje babu ?
Akili mgando ndo huyu . Ulikuwepo ? Au uliambiwaHii chato inanikumbusha utawala wa Mobutu kule DRC
Usinletee stress zako mimiAkili mgando ndo huyu . Ulikuwepo ? Au uliambiwa