Kenyatta Uhuru kutua Chato

Kenyatta Uhuru kutua Chato

Wewe na wenzio mlikua mnajisifu kwamba GoT inajua kuandika barua na kutumia maneno vizuri kuliko GoK, Barua rasmi iliotiwa saini na mkuu wa mawasiliano ya Rais ikulu ilisema JPM kamualika Uhuru, sasa tayari unataka kugeuza hadithi kwasababu haikufai... ebo!

d-j1xycwkae6r79-jpeg.1145609

Sikiliza Ukweli huo, Uhuru ndiye aliyeomba kwenda Chato, tena ndani ya muda mfupi sana.
 
Waafrika watu wajinga sana,
Eti sasa wanaume wazima wanabishana Nani aliomba ombi ya kumtembelea mwingine wa kwanza....hiiii ujinga sijui itazikwa lini.
Aibu tupu
 
Waafrika watu wajinga sana,
Eti sasa wanaume wazima wanabishana Nani aliomba ombi ya kumtembelea mwingine wa kwanza....hiiii ujinga sijui itazikwa lini.
Aibu tupu
Hii ujinga ndio Lugha gan!!?
 
While we are busy skinning each other.....

The top dogs are schmoozing ....
 
Karibu Rais Kenyatta Tanzania.... This Kenya and Tanzania bashing has to stop cause it is taking us to nowhere. Instead of bickering amongst each other, we should channel our effort and energy in ensuring that we are building prosperous nations. Guys, Tanzania and Kenya badly need each other...
 
Thank you for this well thought out comment...
 
Aliosema Jagwa ni maneno tu, Tofauti na huko Tz ambapo Mkenya mfanyabiashara alitekwa nyara jijini DSM na hadi sasa hajulikani aliko... Labda Uhuru kakwenda kukaba koo JPM na hatoki huko Tz hadi huyo mkenya aregeshwa mara moja> Ulifikiria hilo????
Mbona alionekana tiyar huko Mombasa

Hata hufatilii habari
 
Jamaa kasema tanzania kuna ng'ombe million thelathini nukta tano.....

Yani nimecheka sana..kwn siku hz kuna census ya ng'ombe au
Kitu usicho kijua kitakusumbua
Tanzania sio Kenya
Tanzania Ilisha piga chata ng'ombe zake
Maana mlizidi kuingiza Hovyo huku
 
BTW mnajua kwamba African Continental Free Trade Area Agreement (AfCFTA) inaanza Kesho jumapili Kwa wale waliotia sign? Mnajua kua Kenya(Nairobi) inataka iwe HQ ya AfCFTA .... Kwa hotuba yake huko Tz Uhuru aliongelea Sana kuhusu kufunguliana mipaka baina ya majirani.... Coincidence much?
 
Bwahahaaaaa...je na samaki...mmewapiga chata nao...manake kasema sijui ni wangapi vile vile..kemu nikumbushe
Kitu usicho kijua kitakusumbua
Tanzania sio Kenya
Tanzania Ilisha piga chata ng'ombe zake
Maana mlizidi kuingiza Hovyo huku
 
Back
Top Bottom