Kenyatta Uhuru kutua Chato

Punguza kufwatilia sana sisa za Kenya, utashikwa na wazimu, Siasa za Kenya tuahia wenyewe tunazijua vizuri... Alafu isitoshe Uhuru anamaliza muhula wake wa pili ukiisha anaenda nyumbani akapumzike, siasa ndogo ndogo hazimsumbui akili ndio maana ameshikana na Raila bila kujali hisia za chama chake ja Jubelee, na hata Juzi Kalonzo musyoka amepewa cheo cha special envoy to South Sudan .... Ukifwatilia kwa karibu Uhuru siku hizi hua hajihusishi na siasa za ndani...
 
Aliosema Jagwa ni maneno tu, Tofauti na huko Tz ambapo Mkenya mfanyabiashara alitekwa nyara jijini DSM na hadi sasa hajulikani aliko... Labda Uhuru kakwenda kukaba koo JPM na hatoki huko Tz hadi huyo mkenya aregeshwa mara moja> Ulifikiria hilo????
Kumbe nawe ni mkurupukaji huyo mjinga
Alijiteka na kujitupa kwa shangazi yake Mombasa
Anasubiriwa huku akitua tu atasema huo upuuzi kamtuma nani!!
Alafu saizi Live Kurugenzi ya Ikulu inasema Kenyatta ndiye alie toa maombi ya kukutana na Magu
na Magu akaridhia Aje
 
I suspect RAO will be there also! This visit is a result of handshake!
That will be good for everyone!

Raila na Uhuru juzi kwa mara ya pili ndani ya mwzi mmoja walikua kwa private meeting kule Kisumu alafu baadae wakatembelea Kisumu kuangalia mitambo ikikata nyasi zinazomea juu ya maji.... Labda Raila kamwambia Uhuru atawaunganisha na JPM ili Kisumu port iwe inaweza fanya biashara huru na Mwanza bila tashwishwi!









President Uhuru Kenyatta and Opposition leader Raila Odinga breached protocol and delayed the former’s flight by more than four hours as they toured Kisumu.

In a surprise decision that apparently caught his security and protocol officers by surprise, Uhuru changed his mind about boarding his jet at the Kisumu International Airport at the eleventh hour on Saturday evening and instead accompanied Raila in a tour of Kisumu town.
Driving in two cars with a skeleton security detail, the leaders, accompanied by Kisumu Deputy Governor Mathews Owilli, made a surprise visit to Kisumu Port before crossing over to the nearby Yatch Club for fish and ugali.
Sources at the airport said the President had told his security commandant that he did not need an elaborate escort. No one noticed them as they drove in two black SUVs, from the airport into Obote Road and finally into the port shortly after 6pm.
Police officers in two Land Cruisers trailed the President’s unmarked car from a distance.




Na kwa mara ya Tatu, Jana 4July2019, Raila alikua hapo Kisumu port kuangalia imefika wapi

 
Huu ujio ni njama ya kummaliza Ruto na kumpandisha Raila. Chama kipya kipo jikoni cha Uhuru na Raila. Hakuna tija yoyote kwa wana east Africa.
 


Wewe na wenzio mlikua mnajisifu kwamba GoT inajua kuandika barua na kutumia maneno vizuri kuliko GoK, Barua rasmi iliotiwa saini na mkuu wa mawasiliano ya Rais ikulu ilisema JPM kamualika Uhuru, sasa tayari unataka kugeuza hadithi kwasababu haikufai... ebo!

 
Mtuonsheni hizo picha za Uhuru huko chato mkizipata basi ehh!?
 
Kenyatta awe karibu sana na mkewe kwa muda watakaokuwapo na huyu mwenyeji wao la sivyo atakuja kutuandikia thread ya kulialia hapa kwamba amechapiwa kisela.
 
Ntakujibu Muda
Uhuru ndiye aliye omba
na magu akaridhia
 
Asanta!.... hapo pa bendera, hio ni airforce one yetu, ... hata Obama alipokuja Africa aliweka bendera mbili, moja ya marekani nyengine ya hio nchi anayotembelea.

BTW, Hio TBC iko na link ya live stream tuaangalie pia sisi?
Aa!!
We jamaa huishiwi ubishi
upande wa live streaming Chanel tunayo ya Ikulu
japo kila Tv wapo nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…