Kenyatta University closed indefinitely over student unrest

Kenyatta University closed indefinitely over student unrest

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Chuo hicho kimefungwa jana hadi hapo maelezo mengine yatakapotolewa baada ya maandamano yaliyokuwa yakifanywa na Wanafunzi kuharibu baadhi ya mali za Chuo na kuleta usumbufu

Taarifa iliyotolewa jana na Kansela Msaidizi wa Chuo hicho, Prof. Paul K. Wainaina imeeleza kuwa Baraza la Seneti limefikia uamuzi huo na Wanafunzi wote wanatakiwa kuondoka Chuoni hapo mara moja

Hata hivyo, Kiongozi wa Umoja wa Wanafunzi katika Chuo hicho, Joshua Ayika amewashauri Wanafunzi kupuuza taarifa hiyo na badala yake wasubiri taarifa kutoka kwake

Jumatatu wiki hii, Wanafunzi wakiongozwa na Joshua Ayika waliandamana kupinga kuhusu masuala mbalimbali Chuoni hapo huku wakitaka Prof. Wainaina kujiuzulu, tukio lililoleta msongamano wa magari katika barabara Kuu ya Thika baada ya Polisi kujaribu kuwazuia

Miongoni mwa mambo wanayolalamikia Wanafunzi hao ni muda mdogo wa kulipa ada uliopo, kufukuzwa kwa wafanyakazi bila taarifa ambapo Wafanyakazi 700 wameondoshwa kazini chuoni hapo, kupanda kwa ada ya Mahafali bila taarifa kutoka Ksh. 3,500 hadi Ksh. 6,000
******

Kenyatta University has been shut down until further notice following two days of student demonstrations.

In a memo issued on Tuesday, the institution’s Vice Chancellor Prof. Paul K. Wainaina stated that the Senate had reached the decision “following disturbances by some students that have led to disruption of lectures and destruction of university property.”

“In view of the foregoing, all students are required to vacate the university premises immediately,” stated Prof. Wainaina.

Kenyatta University Students Association (KUSA) leader Joshua Ayika has, however, advised students to disregard the memo and instead await his address.

The students on Monday engaged police in running battles and caused a heavy traffic snarl up on Thika Road as they staged a protest over welfare issues.

Led by their union boss Joshua Ayika, the learners reportedly demanded the resignation of Prof. Wainaina over what they termed as “historical injustices.”


The students lamented over the early deadline for fees payment, the administration forcefully directing students from Nyayo hostel to use a fly over within the institution among other issues.

They further accused the school administration of suspending fellow students and student leaders on “petty basis” besides charging Ksh.2500 for supplementary examinations.


“Sacking of casual workers without notice, almost 700 workers lost their jobs which is unfair,” read a memo by Mr. Ayika.

“Hiking of graduation fee From Ksh.3500 to Ksh.6000 without our body being informed.”

However, in a rejoinder released Monday evening through the office of the V.C, the administration accused Mr. Ayika of issuing a misleading circular without the concurrence of the rest of the Students Governing Council.

“The University Management apologizes to members of the public who were inconvenienced by the few unruly students who chose violence instead of engaging directly with the university administration through dialogue,” read the statement.

“For purposes of safety and security, all pedestrians including students and staff are expected to use the footbridges at the Nyayo Hostels located on our main campus as well as on the Thika superhighway.”

It further stated: “However, a few students were incited not to use the footbridge on the campus. The footbridges were put up by the Government at a considerable cost for the safety and security of the users.”
 
Bora yaendelee Kenya yasije huku
Eeeh Mungu tusaidie maana sipati picha nini kingetokea huku
 
Ndio maana wakenya walikua wakishangaa Tanzania RC anawalamba wale mabazazi viboko, kumbe huko Kenya ndio lifestyle kuharibu mali ya umma kwa excuse za kipimbi hivyo? This wamnyonyez generation will suck Kenya back and forth like no one's business huku wenye akili wakiwa hawapo, umarekani ukizi matokeo yake ndio haya

Sasa kama jina la nchi tu ni Muingereza kaingilia kati unategemea nini?

 
Ndio maana wakenya walikua wakishangaa Tanzania RC anawalamba wale mabazazi viboko, kumbe huko Kenya ndio lifestyle kuharibu mali ya umma kwa excuse za kipimbi hivyo? This wamnyonyez generation will suck Kenya back and forth like no one's business huku wenye akili wakiwa hawapo, umarekani ukizi matokeo yake ndio haya

Sasa kama jina la nchi tu ni Muingereza kaingilia kati unategemea nini?

Eti wamnyonyezi generation? Si hawahawa wamnyonyezi hata juzi wamechoma mabweni kule mbeya? .

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom