Hoshea
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 5,420
- 3,772
Rwanda ipo Open university of Tz.Tanzania jalala la Campus fake za vyuo vya nje,Sijui Kampala Internanational sijui kenyatta
hivi sisi tuna campus kweli kwao huko like Mzumbe,SUA,UDSM in Kenya na UG ?
tuna kubali sana vitu kirahisi nchi hii