Kenyatta University selling property on Arusha campus

Chuo hicho kimefungwa pia na Serikali ya Rwanda kwakuwa hakina ubora wa Elimu
 
Vyuo vya kitapeli hivi...inawezekana hiki chuo kilikuwa ni chaka la kuhifadhi watu wa kazi maalumu!!
Jingalao bwana. Mara nyingine huwa unawaza nje ya box mkuu. Safi sana kwa mwono huo wa kifikira. Tusiwe tuna laumu tu mara zote, sio lazima mtu aambiwe sababu ya kuzuia kitu fulani kisiendelee kufanyika. Kwani Urusi na Marekani wanapowafukuza raia wa nchi nyingine wenye kinga ya kidiplomasia sababu hasa huwa dunia inaambiwa au yanakuwa ni mambo ya kiutawala? Serikali ina macho mapana ya kugundua jambo. Inaweza kuwa pia hivi vyuo vilikuwa chaka la kuvuna fedha na kuzitorosha nje wakati elimu wanayotoa ni duni.Safi sana Jingalao walau kwa kuwapa wengine wanaofikiri kila lifanyikalo ni kwa ajili ya kukomoa tu, bali ni kujenga taifa letu.
 
Chuo hicho kimefungwa pia na Serikali ya Rwanda kwakuwa hakina ubora wa Elimu
Hii ndio maana ya serikali, kila jambo isilo na masilahi na nchi lazima litupiliwe mbali. Je, na Rwanda walivyofanya hivyo kwanini tusikubaliane kuwa vyuo vya kitapeli vimezagaa sana? Je, hii sio upatu wa DECI na D9 CLUB?Tutafakari na tuchukue hatua. Hata Kenya wao huwa hawaruhusu vitu vya kitapeli, kwanini sisi tujirahisishe?
Hivi DECI YA D9 CLUB BADO IPO AU WAMESEPA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…