pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Kama mlivowahusisha watu wa kisiwa cha Zanzibar? Mbele ya Mkenya ikija ni maswala ya demokrasia, kama mtz just SHUT UP! Hamna cha kutufunza mnapiga hatua za kurudi nyuma tu. Mwaka juzi mlikuwa na rais sasa hivi mna mfalme mtakatifu.Aache unafiki true democracy means inclusivity! Haikuwepo haja kulazimisha uchaguzi wa 26th October bila kusikiliza NASA grievances...
kumbe hiki kitu kiko katika damu ya waAfrika!!??
yaaa lkn kweli. digging back to our history have you ever heard that chief Zwangedaba or Mkwawa or Mansa Kankani Musa or Sundiata Keita stepped down after serving his term of ten years. or have you ever heard that there were some opposition leaders during their rulership?
hiyo siyo culture yetu.
ahaaa haaaa haaaa
Acha kuwakejeli hawa watu....mulitaka kumuua Lissu kwa risasi 38 mungu akamponya kupitia hawa wa Samalia wema Kenyans..kama huku ni gari nyeupe je kwa uhuru kwa nini usiijue gari ilio muuwa mkuu wa tume kabla ya uchaguzi? na kwa nini gari ilio fyatua risasi makamo jaji mkuu usi ijue rangi yake,je hio ndo demokrasia,ukitaka kumsifia mtu kwa jema unafki acha pembeni mkuu,madudu yalio fanywa na tume mnayo iita tume huru kwanini haikukubali kujiunzulu,tatzo la ngozi hiz asili ya bara hizi zina ushabik mwingi wa usio zingatia ukweli-
This is unacceptable. Very sad indeed.
Huo usikilizwaji wa NASA grievancies ulikuwepo kwenye katiba?Aache unafiki true democracy means inclusivity! Haikuwepo haja kulazimisha uchaguzi wa 26th October bila kusikiliza NASA grievances...
Tanzania democracy amesafiri sijui atarudi lini kwa sasa yupo dictator!Kama mlivowahusisha watu wa kisiwa cha Zanzibar? Mbele ya Mkenya ikija ni maswala ya demokrasia, kama mtz just SHUT UP! Hamna cha kutufunza mnapiga hatua za kurudi nyuma tu. Mwaka juzi mlikuwa na rais sasa hivi mna mfalme mtakatifu.