pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Kama mlivowahusisha watu wa kisiwa cha Zanzibar? Mbele ya Mkenya ikija ni maswala ya demokrasia, kama mtz just SHUT UP! Hamna cha kutufunza mnapiga hatua za kurudi nyuma tu. Mwaka juzi mlikuwa na rais sasa hivi mna mfalme mtakatifu.Aache unafiki true democracy means inclusivity! Haikuwepo haja kulazimisha uchaguzi wa 26th October bila kusikiliza NASA grievances...